Maneno ya Nchimbi ni insulation tu ya public. Uhalisia wa ndani malengo ya CCM ni kuhatarisha Amani ndio maana hawahubiri haki. Kwa yanayoendelea hakuna mwanaCCM hata mmoja tunaweza kumjengea nia njema kwenye suala la haki.Hakuna haja ya kuwaza sana kiwatafuta watu wanaofanya mambo ya kuhatarisha amani,Ni vijana baadhii wa ccm ndiyo wanahatarisha amani,kama juzi mlimsiki katibu wao Nchimbi licha ya kupiga marufuku ule wimbo wa vijana wao waliyoimba.Wapinzani wakifa wao hawawezi kulia watawatupa mtoni wawe chakula cha mamba.Si hiyo tu viongozi wa vijana wa ccm baadhi wametowa matamshi ya uchochozi kama vile Ccm itashinda hata kwa mabomu,wengine wamesema watawapoteza watu.Sasa ninyi polisi mnataka watu gani zaidi wanaozua taharuki na wanaohatarisha amani zaidi ya hawa?
PoliceccmHakuna haja ya kuwaza sana kiwatafuta watu wanaofanya mambo ya kuhatarisha amani,Ni vijana baadhii wa ccm ndiyo wanahatarisha amani,kama juzi mlimsiki katibu wao Nchimbi licha ya kupiga marufuku ule wimbo wa vijana wao waliyoimba.Wapinzani wakifa wao hawawezi kulia watawatupa mtoni wawe chakula cha mamba.Si hiyo tu viongozi wa vijana wa ccm baadhi wametowa matamshi ya uchochozi kama vile Ccm itashinda hata kwa mabomu,wengine wamesema watawapoteza watu.Sasa ninyi polisi mnataka watu gani zaidi wanaozua taharuki na wanaohatarisha amani zaidi ya hawa?
Yule ni mtu mzima ila empted mind , yan kigupi siasa za Tanzania hazivutii kuzifuatilia kwa sababu waliopewa dhamana hawana mvuto wa sera, wao ni kuongea ujinga ujinga na wananchi nao kwa kuwa ni wajinga wanashangiliaKuna yule wa virusi vya corona bado yupo tu uraiani. Anafanya nini uraiani?
Kwahiyo hawawezi kujikamata mkuu?Policeccm
Vyombo vya usalama havitendi haki kabisa. Ile kauli ingekuwa ameongea mwanasiasa wa chama kingine sasa hivi angekuwa ndani.Yule ni mtu mzima ila empted mind , yan kigupi siasa za Tanzania hazivutii kuzifuatilia kwa sababu waliopewa dhamana hawana mvuto wa sera, wao ni kuongea ujinga ujinga na wananchi nao kwa kuwa ni wajinga wanashangilia
Hawa wanaharibu Nchi kwa kulea ujinga.Maneno ya Nchimbi ni insulation tu ya public. Uhalisia wa ndani malengo ya CCM ni kuhatarisha Amani ndio maana hawahubiri haki. Kwa yanayoendelea hakuna mwanaCCM hata mmoja tunaweza kumjengea nia njema kwenye suala la haki.
Zamani wangekwisha sukumwa ndaniVyombo vya usalama havitendi haki kabisa. Ile kauli ingekuwa ameongea mwanasiasa wa chama kingine sasa hivi angekuwa ndani.
Polisi waache kutumika wafuate taratibu na kanuni zinazo waongoza ili kutenda haki.Zamani wangekwisha sukumwa ndani