Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni miez 5 tangu nitengane na mke wangu nahitaj kumrudia lkn ndugu zangu hawataki hasa mama. nifanyeje? nishaurini.
aliyewaunganisha MUNGU binadamu asiwatenganisheKwani mkeo anatabia gani? sababu sio rahisi mama mkwe akasema hamtaki mkwewe bila sababu yamsingi? au wewe mwenyewe ndio unamjua zaidi mkeo kuliko mzazi wako kama unahisi anastaili kupewa nafasi nyengine,ongea na Bimkubwa akuelewe ....
aliyewaunganisha MUNGU binadamu asiwatenganishe