MAULA
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 1,056
- 170
Kwanza POLENI SANA NDUGUZANGU AMBAO MAMBO YA CHUO HAYAJAELEWEKA HUSUSANI KATIKA KUWEZO KULIONA JINALAKO KATIKA CHUO FULANI.
kiukweli tunakutana na ugumu wa hali ya juu hasa kwa maswali ambayotunayapata kila tukiangalia profile zetu zikiwa na ujumbe ulio na matuamianilakini yasio kamilika kwa mda mrefu(siku 2 nindefu sana kusubiri kitu) laikini katika hili kweli TZ tujipange katikaswal zima la technologia kwan inaleta maswali mengi sana unapopitia profilezako.
na changamoto kubwa hapa ni technologia
mfano profile yangu mimi inasoma hivi
View attachment 190228
na general list ya TCU jina langu lipo hapa

na list ya chuo jina hili hapa

ana admition letter sha ipata kwenye mail yangu
na chuo kimedai mpaka leo bado kinaletewa majina kutoka TCU so bado selection zinaendelea tuwe wavumilivu alaf na wale ambao zinasoma selected(NOTYET) chuo flan hebu weka hapa hicho chuo na jina mm nikusaidie kukuangalizia