Niwatie moyo (selected/notyet/cheking in progress) na jina halionekani

Niwatie moyo (selected/notyet/cheking in progress) na jina halionekani

MAULA

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
1,056
Reaction score
170
Kwanza POLENI SANA NDUGUZANGU AMBAO MAMBO YA CHUO HAYAJAELEWEKA HUSUSANI KATIKA KUWEZO KULIONA JINALAKO KATIKA CHUO FULANI.
kiukweli tunakutana na ugumu wa hali ya juu hasa kwa maswali ambayotunayapata kila tukiangalia profile zetu zikiwa na ujumbe ulio na matuamianilakini yasio kamilika kwa mda mrefu(siku 2 nindefu sana kusubiri kitu) laikini katika hili kweli TZ tujipange katikaswal zima la technologia kwan inaleta maswali mengi sana unapopitia profilezako.
na changamoto kubwa hapa ni technologia
mfano profile yangu mimi inasoma hivi
View attachment 190228
na general list ya TCU jina langu lipo hapa
Screenshot (6)ed.png
na list ya chuo jina hili hapa
Screenshot (7)-crop.png

ana admition letter sha ipata kwenye mail yangu

na chuo kimedai mpaka leo bado kinaletewa majina kutoka TCU so bado selection zinaendelea tuwe wavumilivu alaf na wale ambao zinasoma selected(NOTYET) chuo flan hebu weka hapa hicho chuo na jina mm nikusaidie kukuangalizia
 
Hongera ndugu nadhani sasa chakula kitapanda kwako, tusaidie
na sisi tuliorudia kuchagua j'tatu na hadi leo stay calm kuna matumaini kweli?
 
BAHATI JUMA MUNYETI Male S3285/0019/2010 Bachelor of Civil Engineering (4 Years) Mbeya University of Science and Technology
 
SIMION ANTHONY M S0718/0142/2011 Bachelor Degree in Development Finance and Investment Planning Institute of Rural Development Planning

KAMA SIO LENYEWE WATATOA SIO MDA WALISEMA SUA
 
YAA yapo kwani unapo chagua lazma ujaze slot ambacho ina nafas na system inakuletea slot zenye nafas pia ambazo hazna haileti
 
Pls naomba msaada pia niangalizieni jamani moyo waniuma mno kukosa nafas. Jina MARIAM A. KAWALA. P1072/0149/2010
 
Nianngalizie udom bachelor of science and information security system S3646 / 0017
 
username mnaandika majina ya miti shamba tcu imewafanya mtoe official name
 
Pls naomba msaada pia niangalizieni jamani moyo waniuma mno kukosa nafas. Jina MARIAM A. KAWALA. P1072/0149/2010

Usifadhaike jina lako lipo dada Mariam Ambrose Kawala

Bachelor Degree in Development Finance and Investment Planning (Institute of Rural Development Planning)
KWANI PROFILE YAKO INASOMEKAJE?
 
Nianngalizie udom bachelor of science and information security system S3646 / 0017

NOELAGASPERTEMBAFS3646/0017/2011Bachelor of Science in Telecommunication EngineeringUniversity of Dodoma
 
nuni imam suleiman....MZUMBE

NUNISELEMANIIMAMUFemaleS0212/0110/2006Bachelor of Education in Language and Management (BELM)Mzumbe University
 
Jeremiah evans benasius..UDOM bachelor of science in physics

JEREMIAH BENASIUS EVANS Male S0112/0105/2006 Bachelor of Science in Physics University of Dodoma
 
Mbeya University of science and Technology. (Bahati Munyeti Juma)

BAHATI JUMA MUNYETI Male S3285/0019/2010 Bachelor of Civil Engineering
(4 Years)
Mbeya University of Science and
Technology
 
Back
Top Bottom