Niwekee Tyres nzuri kwa ajili ya sakafu!! Nimechagua rangi hadi kichwa kinaniuma

Mkuu wakati wa kuchagua vitu kaa hizo kuna mambo mengi ya kuzingatia cha kwanza kbs ni mfuko wako, Tiles zinatofautiana bei kutokana na ubora wake, pili ni uwiano wa nyumba yako, kuanzia ukubwa, rangi ya kuta na ceiling, kuna watu wanapenda rangi zilizochangamka na kuna wengine wanapenda rangi zilizopoa sasa sijui sheikh wangu we uko upande gani. Hii ni sanaa kama sanaa nyingine tu inatakiwa iwe well balanced kwa kiswahili tunasema uzania au mizania.
 
Rangi ilochangamka
 
Ni tiles sio tyres.

Aina hutegemeana na mazingira ya hali ya hewa huko ulipo na machaguo utakayopenda wewe ukishauriana na mkandarasi wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…