Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
Wakuu wataalam wa design
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usikose kuweka hizi Mkuu. Siku moja utarudi kuishukuru In'Shaa'Allah
hizi za wood nzuri ila huwa sizipat
heeehKama ni pikipiki kuna tyres za sanimoto,CST,Double life
Rangi ilochangamkaMkuu wakati wa kuchagua vitu kaa hizo kuna mambo mengi ya kuzingatia cha kwanza kbs ni mfuko wako, Tiles zinatofautiana bei kutokana na ubora wake, pili ni uwiano wa nyumba yako, kuanzia ukubwa, rangi ya kuta na ceiling, kuna watu wanapenda rangi zilizochangamka na kuna wengine wanapenda rangi zilizopoa sasa sijui sheikh wangu we uko upande gani. Hii ni sanaa kama sanaa nyingine tu inatakiwa iwe well balanced kwa kiswahili tunasema uzania au mizania.
aina ganKuna tiles zinapiga short ukiwa peku,sijui ni mimi tu inanitokea
pichaaKuna Michelin, Pirelli, na Dunlop sema bei inakuwa imechangamka, kwa upande wa mchina huwa nasikia Linglong na Goodride ni nzuri
niweke nnUnawekaje matairi kwenye nyumba
Hii nzuri nimeipenda