Niwezeshe niende kwenye ulambaji wa asali

Niwezeshe niende kwenye ulambaji wa asali

Barnabas Mashamba

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2020
Posts
797
Reaction score
2,233
Habari mwana jamvi.

Nimeitwa kwenye interview (Ardhi University) kama inavyoonyesha hapo chini.

Screenshot_20221001-083413_1.jpg
Nimepeleza kiasi shilingi za kitanzania takribani 90,000/= ili niweze kufika mahali pa usaili (kutoka Geita).

Kwa yeyote atakayehitaji kunishika mkono katika hili niwezeshe kupitia

M - PESA namba 0756759623 (jina Barnabas Mashamba).

Update 1
Kuna mdau kanitumia 15,000/=, thanks much.

Screenshot_20221001-131248.jpg

Update 2
Kuna mdau mwingine ametuma Tsh 10,000/= thanks much.

Imefika Tsh 25,000/= bado Tsh 65,000/=

Screenshot_20221001-135425_1.jpg
 
Habari mwana jamvi.

Nimeitwa kwenye interview (Ardhi University) kama inavyoonyesha hapo chini.

View attachment 2373430Nimepeleza kiasi shilingi za kitanzania takribani 90,000/= ili niweze kufika mahali pa usaili (kutoka Geita).

Kwa yeyote atakayehitaji kunishika mkono katika hili niwezeshe kupitia

M - PESA namba 0756759623 (jina Barnabas Mashamba).
wataifuta soon hii thread yako
 
Unae hatari Kubwa ..
Siyo kwamba sina Kabisa ndugu, rafiki na jamaa, wapo.

Kawaida ndugu, jamaa na marafiki wanakuwa beneti na mtu aliye na ama pesa au kazi.

Zaburi 88:

18. Mpenzi na rafiki umewatenga nami, Nao wanijuao wamo gizani.

Na siyo ndugu tu, kwa mjibu wa nukuu hapo juu, hata ukiwa na mpenzi na maisha ya kipesa hayaeleweki... Jaza mwenyewe
 
Kuna tatizo mahali toka tuingie awamu ya sita juu ya watu wanaoitwa kwenye mchujo
Hakuna shida sana. Sema kama wiki mbili zimepita niliitwa interview DUCE(tarehe 14/09/2022). Hivyo kwa kuwa imekuwa karibu karibu ndiyo changamoto hii imetokea.
Tiketi ya siku narudi.
Screenshot_20221001-092319.png

Kama unavyoona route ilikuwa DSM - KTR.
 
Mdogo wangu, hivi una sababu ya kuweka mpaka hayo majina humu jukwaani kweli kujusu hizo interview zako!

Kwa nini usitimie tu nguvu ya ushawishi, huku ukificha hizo taarifa za taasisi zilizo kuita? Na hivyo basi ungewatumia PM tu kama ushahidi wale ambao wangehitaji uthibitisho! Wakati mwingine unaweza kukinyima riziki kwa makosa tu ya kiufundi.

Halafu kichwa cha habari unaandika "niwezeshe niende kwenye ulambaji wa asali"!!! Yaani unaonekana una bahati, lakini hauko serious na mambo yako. Unaleta masihara kwenye mambo ya msingi na nyeti kama haya!!
 
mwambie mod afute huu uzi , unawezakuta interviewers wapo humu
na vile ume expose hayo majina doh
Hawa ndiyo wasomi wetu wa kizazi cha sasa. Wenzake wamemuita kwa ajili ya kwenda kuleta output taasisi! Yeye anawaza kwenda kulamba asali!

Mtu kama huyu ukimpa hiyo kazi, ataleta tija gani? Si ndiyo atakuwa mlevi tu na mharibifu kwa mabinti zetu!!
 
mwambie mod afute huu uzi , unawezakuta interviewers wapo humu
na vile ume expose hayo majina doh
Kwani PDF si zimewekwa public? Au unadhani zinatumwa kwa mtu binafsi (say kwenye email?)

Hebu ingia www.ajira.go.tz kama hutakuta PDF ya walioitwa interview ARU.

Mimi hapa natafuta uwezeshwaji wa kufika kwenye hiyo interview.
mwambie mod afute huu uzi , unawezakuta interviewers wapo humu
na vile ume expose hayo majina doh
Ajira zilitangazwa kupitia website ya www.ajira.go.tz pia PDF ya walioitwa kwenye usaili ni huko huko ajira.go.tz.

Hivyo hili si suala mficho.
 
Mdogo wangu, hivi una sababu ya kuweka mpaka hayo majina humu jukwaani kweli kujusu hizo interview zako!

Kwa nini usitimie tu nguvu ya ushawishi, huku ukificha hizo taarifa za taasisi zilizo kuita? Na hivyo basi ungewatumia PM tu kama ushahidi wale ambao wangehitaji uthibitisho! Wakati mwingine unaweza kukinyima riziki kwa makosa tu ya kiufundi.

Halafu kichwa cha habari unaandika "niwezeshe niende kwenye ulambaji asali"!!! Yaani unaonekana una bahati, lakini hauko serious na mambo yako. Unaleta masihara kwenye mambo ya msingi na nyeti kama haya!!
Couldn't say it any better. Umemaliza mkuu.
Aidha kwa kuhisi anaweka ucomedy ama kwa kutokujua tu uandishi wake hasa kichwa cha habari kumepotosha maana nzima ya uzi wenyewe.

Maana hasa ya kichwa cha habari ni kumvutia msomaji kusoma maudhui mazima ya habari. Sasa kwa mtu mzima asielewa lugha za kihuni akishaona kulamba asali anautoa maanani uzi wenyewe na kuupuza kabisa.
 
Hawa ndiyo wasomi wetu wa kizazi cha sasa. Wenzake wamemuita kwa ajili ya kwenda kuleta output taasisi! Yeye anawaza kwenda kulamba asali!

Mtu kama huyu ukimpa hiyo kazi, ataleta tija gani? Si ndiyo atakuwa mlevi tu na mharibifu kwa mabinti zetu!!
Hahahahaha, hiyo ni win win situation. Mimi nitatoa ujuzi wangu kwa mafanikio ya chuo, nami nitakuwa nalamba asali kupitia mshahara. Au kwa mawazo yako unadhani atakayefaulu huo usaili atatoa output bila ya yeye kupata input.
 
Back
Top Bottom