Niwezeshe niende kwenye ulambaji wa asali

Niwezeshe niende kwenye ulambaji wa asali

Hahahahaha, hiyo ni win win situation. Mimi nitatoa ujuzi wangu kwa mafanikio ya chuo, nami nitakuwa nalamba asali kupitia mshahara. Au kwa mawazo yako unadhani atakayefaulu huo usaili atatoa output bila ya yeye kupata input.
Dude, there is a very thin line between confidence and arrogance. Right now you are being arrogant; so much so for a person in need of help. Kuwa mpole kijana, dhihaka na majivuno havijengi. Si kila anaekushauri ana nia mbaya. Na kumbuka umeweka majina yako kamili usije kustaajabu mmoja wa wahusika wa huko ulikoitwa yumo humu na pengine ndie unaejibu comment zake.
 
Dude, there is a very thin line between confidence and arrogance. Right now you are being arrogant; so much so for a person in need of help. Kuwa mpole kijana, dhihaka na majivuno havijengi. Si kila anaekushauri ana nia mbaya. Na kumbuka umeweka majina yako kamili usije kustaajabu mmoja wa wahusika wa huko ulikoitwa yumo humu na pengine ndio unaejibu comment zake.
Umeeleweka mkubwa. Sema nimejiandikia huu uzi nikiwa na malengo yangu.
 
Couldn't say it any better. Umemaliza mkuu.
Aidha kwa kuhisi anaweka ucomedy ama kwa kutokujua tu uandishi wake hasa kichwa cha habari kimepotosha maana nzima ya uzi wenyewe.

Maana hasa ya kichwa cha habari ni kumvutia msomaji kusoma maudhui mazima ya habari. Sasa kwa mtu mzima asielewa lugha za kihuni akishaona kulamba asali anautoa maanani uzi wenyewe na kuupuza kabisa.
dah, TA unayetegemewa wewe na akili hizi
 
Dude, there is a very thin line between confidence and arrogance. Right now you are being arrogant; so much so for a person in need of help. Kuwa mpole kijana, dhihaka na majivuno havijengi. Si kila anaekushauri ana nia mbaya. Na kumbuka umeweka majina yako kamili usije kustaajabu mmoja wa wahusika wa huko ulikoitwa yumo humu na pengine ndie unaejibu comment zake.
Huyo panelist atakuwa shetani. Kipi hasa alichofanya kibaya kinachostahili kumnyima fursa iwapo ana qualify kwa nafasi aliyoomba? Watz mnapenda uungu utu sana mtu awe dhalili chini yako kwa kila hali ili astahili kilicho chake? Wtf...mnyime hiyo nafasi ila kama ipo ipo tu atapata kwingineko siku yake ikifika
 
Jifunze kusoma ukaelewa ndugu kabla kukurupuka kujibu japo ni haki yako ya kikatiba.
Wapi nilipoandika kuwa atanyimwa fursa? Anyways kila mmoja na lake kikubwa uhai.
 
Jifunze kusoma ukaelewa ndugu kabla kukurupuka kujibu japo ni haki yako ya kikatiba.
Wapi nilipoandika kuwa atanyimwa fursa? Anyways kila mmoja na lake kikubwa uhai.
Hujaandika calculus kwamba nisome mara kumikumi ili nielewe. Acheni umungu mtu damit..mpe mtu anachostahili. Achana na kumprofile mtu na kujudge..
 
Jifunze kusoma ukaelewa ndugu kabla kukurupuka kujibu japo ni haki yako ya kikatiba.
Wapi nilipoandika kuwa atanyimwa fursa? Anyways kila mmoja na lake kikubwa uhai.
Wenye kuita watu kwenye interview waliandika hivi ifuatavyo

Screenshot_20221001-100144_1.jpg

Soma hiyo roman vi

Mimi nimeona nitafute kuwezeshwa kwa njia hii.
 
Habari mwana jamvi.

Nimeitwa kwenye interview (Ardhi University) kama inavyoonyesha hapo chini.

View attachment 2373430Nimepeleza kiasi shilingi za kitanzania takribani 90,000/= ili niweze kufika mahali pa usaili (kutoka Geita).

Kwa yeyote atakayehitaji kunishika mkono katika hili niwezeshe kupitia

M - PESA namba 0756759623 (jina Barnabas Mashamba).
Hiyo kazi utapata kama Chuwa amestaafu ila kama yupo sahau, anaajiri wachaga tu, kama vipi fatilia rekodi za walioajiriwa kipindi cha utawala wake uone
 
Hujaandika calculus kwamba nisome mara kumikumi ili nielewe. Acheni umungu mtu damit..mpe mtu anachostahili. Achana na kumprofile mtu na kujudge..
Ni dhahiri umekaa kishari maana sioni hasa kinachokufanya upanic. Ulichoandika ndio ukomo wa fikra na uelewa wako. Kwa upande wangu mjadala nishaufunga kama kuna la ziada ni la kwako. Uwe na asubuhi njema yenye baraka tele.
 
Hiyo kazi utapata kama Chuwa amestaafu ila kama yupo sahau, anaajiri wachaga tu, kama vipi fatilia rekodi za walioajiriwa kipindi cha utawala wake uone
Check huyu naye, nimekuja kuomba wezesho la nauli siyo ushauri wa kama nitapata kazi ama la.
 
malengo yangu.
Na wengine pia watakuwa na malengo mengine unadhani dunia nzima Yuko objective na unachokiwaza kila binadamu Ni subjective kwa lengo ama wazo. Yaani Ni Bora ungekomaa kwa ku hide your id mtu akitaka ushahidi unampatia huo ushahidi.
Nadhani soon utaonyesha results zako from primary to university na salary slip usisahau kutuwekea hapa ukiwa na lengo la kumotivate vijana wasome wake kulamba asali.

Yani ngosha umeshindwa shawishi ndugu wauze ng'ombe, wauze gunia za mipunga kadhaa,michembe ama washkaji uliosoma nao from primary,olevo, Advance,chuoni,kitaa uliokuwa nao,uliochunga nao,uliocheza nao michezo ya utotoni,mliocheza michezo ya utotoni kweli,ndugu zako tokea babu wa babu yenu alizaa watu wangapi na hizo nzao zikoje.

Yani ngosha na umri wote huu hujui mtu kwao,utakuta utaoa kidemu Cha first year hata hujui kwao hakujui kisa tu amekiteka emotions za sex Basi Ila nakuambia emotions Ni temporary Rudi kwenu chukua mwanike hapo hapo Mana ndiye anayejua history ya wewe na wewe unajua ya kwao Koo yao.

Jiulize why ubunge ukiutaka unarudi kwenu ndio wanaokupatia ubunge na ilhali ukitaka kuoa unaona mabinti zenu hawafai unaenda kuwaoa walio malaika.

Yaani nyanda umeniudhi mno yaani mno.

Ore pumbaafu gheteghete nyanda ,mpaka machozi yaani unaanika id yako hadharani.
Kuna wanafunzi unaenda kuwafundisha umejivua nguo kwao hebu imagine how they handle your personality.
 
Sasa unaweza deal aje na watu kama unamajib ya ovyo mzee we ukienda pale ukapewa win nimekaa palee
Namjibu mtu kulingana na ujinga aliokuja nao. Mimi nimeleta uzi wa wezesho la kufika interview siyo mtu aniambie bla bla za JF ni kubwa ama ndogo.

Na ninavyojua, ajira inapatika kutokana na performance kwenye interview.
 
Back
Top Bottom