Niwezeshe niende kwenye ulambaji wa asali

Niwezeshe niende kwenye ulambaji wa asali

Namjibu mtu kulingana na ujinga aliokuja nao. Mimi nimeleta uzi wa wezesho la kufika interview siyo mtu aniambie bla bla za JF ni kubwa ama ndogo.

Na ninavyojua, ajira inapatika kutokana na performance kwenye interview.
Una kiburi hatari nilitaka nikutumie 20k ila acha nikale samaki ferry

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Aisee umeshavurugwa na maisha ya mtaani. Hata ukipata hiyo nafasi, sitegemei makubwa kutoka kwako.

Zaidi tu nakuona kama ni kijana ambaye hauko kabisa serious! Kiukweli ukipita kwenye huo usaili wako nitashangaa sana.
Na mm nitafatilia kujuwa kapata au lah mnk Ninazo information za ndani kbsa za hapo Ardhi .

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ngoja nikupe picha kidogo.

Usaili wa DUCE tuliitwa 27 tuliofika kwenye usaili ni 8 pekee. Unajua kwa nini 19 hawakufika? Nauli.

MUCE napo kwa kada ya TA Mathematics waliitwa 45, walienda kufanya written watu 13, 32 huenda walikosa nauli.

Hivyo usianze kunipangia kufeli interview ili hali mpaka dakika hii nishafeli kufika kwenye interview yenyewe.

Labda nikitoa update ya kupata nauli ndipo uje na utabiri wako uchwara wa kufeli interview.
Wazazi wako wanamingombe kibao alfu unashindwa kwenda interview nilitaka kukuunga mkono ila kutokana na majibu yako ya ovyo ovyo hpn

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
mtoa mada hoja yako inamashika ila ulivyoiweka ndio umekosea,mpaka hapo kama mie ni mmoja wa jopo la huo usaili nakutoa kwenye written hata paper sikupi,kwenye taasisi yoyote utakayoenda kutunza siri za ofisi ni ziro,inaonyesha chochote utakachofanya utakuwa unakiweka hadharani wakati kwenye ofisi mtumishi unatakiwa utunze siri za ofisi
 
Wazazi wako wanamingombe kibao alfu unashindwa kwenda interview nilitaka kukuunga mkono ila kutokana na majibu yako ya ovyo ovyo hpn

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Wazazi wangu wana mang'ombe mangapi, na wameyaficha wapi mkuu? Nielekeze nikalichukue limoja na vile leo kuna mnada kijiji cha jirani, chapu tu nitapata nauli.
 
mtoa mada hoja yako inamashika ila ulivyoiweka ndio umekosea,mpaka hapo kama mie ni mmoja wa jopo la huo usaili nakutoa kwenye written hata paper sikupi,kwenye taasisi yoyote utakayoenda kutunza siri za ofisi ni ziro,inaonyesha chochote utakachofanya utakuwa unakiweka hadharani wakati kwenye ofisi mtumishi unatakiwa utunze siri za ofisi
mtoa mada hoja yako inamashika ila ulivyoiweka ndio umekosea,mpaka hapo kama mie ni mmoja wa jopo la huo usaili nakutoa kwenye written hata paper sikupi,kwenye taasisi yoyote utakayoenda kutunza siri za ofisi ni ziro,inaonyesha chochote utakachofanya utakuwa unakiweka hadharani wakati kwenye ofisi mtumishi unatakiwa utunze siri za ofisi
Kwani hili ni suala la siri mkuu?

Screenshot_20221001-114424.png
 
Weka a baada ya M ili kukamilisha jina langu, umelikosea kidogo, ni Mashamba badala ya Mshamba.
Ulitakiwa kutoa tu maelezo,halafu mtu akitaka kukuwezesha ndio umtumie iyo document,mpaka hapo umeshajipunguzia maksi zako,kumbuka nao Utumishi ni taasisi nyeti na pia kuna watu wanakuwa wanawatuhumu kwaiyo mtu kama wewe unakuwa umeshaferi mpaka hapo,je mfano ulivyotoa ivyo na ukakosa nauli kutumiwa utafanyaje,
 
Habari mwana jamvi.

Nimeitwa kwenye interview (Ardhi University) kama inavyoonyesha hapo chini.

View attachment 2373430Nimepeleza kiasi shilingi za kitanzania takribani 90,000/= ili niweze kufika mahali pa usaili (kutoka Geita).

Kwa yeyote atakayehitaji kunishika mkono katika hili niwezeshe kupitia

M - PESA namba 0756759623 (jina Barnabas Mashamba).
Update 1.
Kuna mdau kanitumia 15,000/= thanks much.
Screenshot_20221001-131248.jpg
 
Hadi hapo bora uhairishe safari nyie ndio mnavujisha mitihani.
 
Una kiburi hatari nilitaka nikutumie 20k ila acha nikale samaki ferry
Mkuu mim nashauri umsaidie tu hio hela apate Nauli,,kuhusu kufeli na kufaulu Interview tumuachie yeye....

Watanzania kwenye Suala la kutoa msaada sio wepesi,,,,inahitaji kuwaridhisha kwa mambo mengi sana,,,Mleta uzi ameweka hizo evidence(Majina) ilimradi apatiwe msaada...(sio jambo rahisi hilo). Na asingeweka hizo details bado tungemuona ni TAPELI...

Alichokosea Mleta uzi ni kukataa UNYONGE,,,hehehehe... Jambo ambalo kwa waswahili huwa tunataka mtu akija analia kusaidiwa basi tunapendelea sana awe Mnyonge mwanzo mwisho,,,hata ukimwambia upuuzi akaushe hehehehehe...(hii SAIKOLOJIA yetu ameshindwa kuisoma vyema)...
 
Back
Top Bottom