Barnabas Mashamba
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 797
- 2,233
wataifuta soon hii thread yakoHabari mwana jamvi.
Nimeitwa kwenye interview (Ardhi University) kama inavyoonyesha hapo chini.
View attachment 2373430Nimepeleza kiasi shilingi za kitanzania takribani 90,000/= ili niweze kufika mahali pa usaili (kutoka Geita).
Kwa yeyote atakayehitaji kunishika mkono katika hili niwezeshe kupitia
M - PESA namba 0756759623 (jina Barnabas Mashamba).
Kwanini waifute? Zitakuwa ni roho mbayawataifuta soon hii thread yako
SinaHuna Ndugu?
Jamaa na Marafiki?
Unae hatari Kubwa ..Sina
Siyo kwamba sina Kabisa ndugu, rafiki na jamaa, wapo.Unae hatari Kubwa ..
Hakuna shida sana. Sema kama wiki mbili zimepita niliitwa interview DUCE(tarehe 14/09/2022). Hivyo kwa kuwa imekuwa karibu karibu ndiyo changamoto hii imetokea.Kuna tatizo mahali toka tuingie awamu ya sita juu ya watu wanaoitwa kwenye mchujo
Hawa ndiyo wasomi wetu wa kizazi cha sasa. Wenzake wamemuita kwa ajili ya kwenda kuleta output taasisi! Yeye anawaza kwenda kulamba asali!mwambie mod afute huu uzi , unawezakuta interviewers wapo humu
na vile ume expose hayo majina doh
Kwani PDF si zimewekwa public? Au unadhani zinatumwa kwa mtu binafsi (say kwenye email?)mwambie mod afute huu uzi , unawezakuta interviewers wapo humu
na vile ume expose hayo majina doh
Ajira zilitangazwa kupitia website ya www.ajira.go.tz pia PDF ya walioitwa kwenye usaili ni huko huko ajira.go.tz.mwambie mod afute huu uzi , unawezakuta interviewers wapo humu
na vile ume expose hayo majina doh
Couldn't say it any better. Umemaliza mkuu.Mdogo wangu, hivi una sababu ya kuweka mpaka hayo majina humu jukwaani kweli kujusu hizo interview zako!
Kwa nini usitimie tu nguvu ya ushawishi, huku ukificha hizo taarifa za taasisi zilizo kuita? Na hivyo basi ungewatumia PM tu kama ushahidi wale ambao wangehitaji uthibitisho! Wakati mwingine unaweza kukinyima riziki kwa makosa tu ya kiufundi.
Halafu kichwa cha habari unaandika "niwezeshe niende kwenye ulambaji asali"!!! Yaani unaonekana una bahati, lakini hauko serious na mambo yako. Unaleta masihara kwenye mambo ya msingi na nyeti kama haya!!
Hahahahaha, hiyo ni win win situation. Mimi nitatoa ujuzi wangu kwa mafanikio ya chuo, nami nitakuwa nalamba asali kupitia mshahara. Au kwa mawazo yako unadhani atakayefaulu huo usaili atatoa output bila ya yeye kupata input.Hawa ndiyo wasomi wetu wa kizazi cha sasa. Wenzake wamemuita kwa ajili ya kwenda kuleta output taasisi! Yeye anawaza kwenda kulamba asali!
Mtu kama huyu ukimpa hiyo kazi, ataleta tija gani? Si ndiyo atakuwa mlevi tu na mharibifu kwa mabinti zetu!!
Hahahahaha, na inawezekana hata hapa nipo kichawa zaidi.Ningekuwa panelist nakuhakikishia nisingependa kukaribisha mtu kama wewe kwenye kazi. Hauko serious na maisha na ID hii ndio unaitumia kwenye uchawa humu