Una kiburi hatari nilitaka nikutumie 20k ila acha nikale samaki ferryNamjibu mtu kulingana na ujinga aliokuja nao. Mimi nimeleta uzi wa wezesho la kufika interview siyo mtu aniambie bla bla za JF ni kubwa ama ndogo.
Na ninavyojua, ajira inapatika kutokana na performance kwenye interview.
Na mm nitafatilia kujuwa kapata au lah mnk Ninazo information za ndani kbsa za hapo Ardhi .Aisee umeshavurugwa na maisha ya mtaani. Hata ukipata hiyo nafasi, sitegemei makubwa kutoka kwako.
Zaidi tu nakuona kama ni kijana ambaye hauko kabisa serious! Kiukweli ukipita kwenye huo usaili wako nitashangaa sana.
Wazazi wako wanamingombe kibao alfu unashindwa kwenda interview nilitaka kukuunga mkono ila kutokana na majibu yako ya ovyo ovyo hpnNgoja nikupe picha kidogo.
Usaili wa DUCE tuliitwa 27 tuliofika kwenye usaili ni 8 pekee. Unajua kwa nini 19 hawakufika? Nauli.
MUCE napo kwa kada ya TA Mathematics waliitwa 45, walienda kufanya written watu 13, 32 huenda walikosa nauli.
Hivyo usianze kunipangia kufeli interview ili hali mpaka dakika hii nishafeli kufika kwenye interview yenyewe.
Labda nikitoa update ya kupata nauli ndipo uje na utabiri wako uchwara wa kufeli interview.
Haelewi huyu dogo ,lini watapata kijitambuaBoss unajiaribia sio mambo ya kuweka mtandaoni haya.
Wazazi wangu wana mang'ombe mangapi, na wameyaficha wapi mkuu? Nielekeze nikalichukue limoja na vile leo kuna mnada kijiji cha jirani, chapu tu nitapata nauli.Wazazi wako wanamingombe kibao alfu unashindwa kwenda interview nilitaka kukuunga mkono ila kutokana na majibu yako ya ovyo ovyo hpn
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
mtoa mada hoja yako inamashika ila ulivyoiweka ndio umekosea,mpaka hapo kama mie ni mmoja wa jopo la huo usaili nakutoa kwenye written hata paper sikupi,kwenye taasisi yoyote utakayoenda kutunza siri za ofisi ni ziro,inaonyesha chochote utakachofanya utakuwa unakiweka hadharani wakati kwenye ofisi mtumishi unatakiwa utunze siri za ofisi
Kwani hili ni suala la siri mkuu?mtoa mada hoja yako inamashika ila ulivyoiweka ndio umekosea,mpaka hapo kama mie ni mmoja wa jopo la huo usaili nakutoa kwenye written hata paper sikupi,kwenye taasisi yoyote utakayoenda kutunza siri za ofisi ni ziro,inaonyesha chochote utakachofanya utakuwa unakiweka hadharani wakati kwenye ofisi mtumishi unatakiwa utunze siri za ofisi
Mshamba anazingua.
Weka a baada ya M ili kukamilisha jina langu, umelikosea kidogo, ni Mashamba badala ya Mshamba.Mshamba anazingua.
Wataalam mno kuwazidi wakina nani? Ukabila mnauendekeza nyie watuHata Kama hayupo si amewacha wachaga , uzuri pia Ni kwamba jamaa wameenda shule haswa Ni wataalmu mno
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Weka a baada ya M ili kukamilisha jina langu, umelikosea kidogo, ni Mashamba badala ya Mshamba.
Ulitakiwa kutoa tu maelezo,halafu mtu akitaka kukuwezesha ndio umtumie iyo document,mpaka hapo umeshajipunguzia maksi zako,kumbuka nao Utumishi ni taasisi nyeti na pia kuna watu wanakuwa wanawatuhumu kwaiyo mtu kama wewe unakuwa umeshaferi mpaka hapo,je mfano ulivyotoa ivyo na ukakosa nauli kutumiwa utafanyaje,Weka a baada ya M ili kukamilisha jina langu, umelikosea kidogo, ni Mashamba badala ya Mshamba.
Update 1.Habari mwana jamvi.
Nimeitwa kwenye interview (Ardhi University) kama inavyoonyesha hapo chini.
View attachment 2373430Nimepeleza kiasi shilingi za kitanzania takribani 90,000/= ili niweze kufika mahali pa usaili (kutoka Geita).
Kwa yeyote atakayehitaji kunishika mkono katika hili niwezeshe kupitia
M - PESA namba 0756759623 (jina Barnabas Mashamba).
Mkuu mim nashauri umsaidie tu hio hela apate Nauli,,kuhusu kufeli na kufaulu Interview tumuachie yeye....Una kiburi hatari nilitaka nikutumie 20k ila acha nikale samaki ferry
Sawa, asante kwa ushauri.Hadi hapo bora uhairishe safari nyie ndio mnavujisha mitihani.
Msukuma na ujanja Wapi na wapi!!wajinga mnoo na Wana viburiWe jamaa mbona kama mjinga mjinga flani hivi..,