mkulu senkondo
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 1,862
- 3,574
Mtoa Uzi hajielewi pia iyo taarfa yake inaukakasi sana
Bokungu nae kachoka SIMBA watafute beki wa kulia mzuri wapo wengi tu wazawahivi kwa nini Simba tumemwacha Bokungu wakati Kapombe siku hizi ni mzee wa kuumia
Sent using Jamii Forums mobile app
KimepenyaSimba bhana yaan nmaacha kupora injini ya timu mnachukua mcheza freestyle uwanjani !!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona nyie mmempa Jibu or sorry ajib $102,000mmenunua mvinyo mpya kwenye chupa ya zamani,,,,,,thamani yake $ 50,000?
Unaringa kwa mkeo wakt una nyegezi..hahaha pole sana yanga hana pesa za kumbakisha mtani wanguSimba bhana yaan nmaacha kupora injini ya timu mnachukua mcheza freestyle uwanjani !!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Misemo isiyo na tija na inakufaa wewe tummenunua mvinyo mpya kwenye chupa ya zamani,,,,,,thamani yake $ 50,000?
Nani aliyewadanganya kuwa huu ndio wakati wa kutuma majina ya usajili TFF?Yule mido mchungu anayepiga pasi za kunyoosha kwa rula,sasa ni rasmi ametua Simba kama tetesi zilivyoeleza hapo awali!
Uongozi wa Simba umekamilisha taratibu na jina kutumwa TFF. Prof huyo wa Kirundi anatarajiwa kuungana na kikosi cha Simba "Taifa Stars" kilichoweka kambi South Afrika kwa ajili ya mechi za kirafiki kujiandaa na VPL
Asante sana