Niyonzima 100%,jina latumwa TFF

Niyonzima 100%,jina latumwa TFF

Hadi sasa ni dakika ya 19' SIMBA 2-0 YANGA... .magoli yamefungwa na John boko dk ya 3 na Mzamiru Yasini dk ya 11 baada ya kuunganisha mpira uliotemwa na golikipa wa Yanga.........

MSIOGOPE TUNAWEKA MITAMBO SAWA.
 
Yule mido mchungu anayepiga pasi za kunyoosha kwa rula,sasa ni rasmi ametua Simba kama tetesi zilivyoeleza hapo awali!

Uongozi wa Simba umekamilisha taratibu na jina kutumwa TFF. Prof huyo wa Kirundi anatarajiwa kuungana na kikosi cha Simba "Taifa Stars" kilichoweka kambi South Afrika kwa ajili ya mechi za kirafiki kujiandaa na VPL

Asante sana
Nani aliyewadanganya kuwa huu ndio wakati wa kutuma majina ya usajili TFF?
 
Back
Top Bottom