Niyonzima apewa jezi namba 8 Yanga, mshahara wake Kagere akasome

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Kiungo wa klabu ya Yanga na timu ya Taifa ya Rwanda ndugu Haruna Niyonzima amekubali kuvaa jezi namba 8 Badala ya jezi namba 55 kama ilivyo shauriwa na uongozi wa klabu ya Yanga na benchi la ufundi.

Ujio wa Haruna Niyonzima unatajwa kama usajili ghari kufanywa na Yanga na klabu za Tanzania .

Niyonzima anatarajiwa kuvuta mshahara mkubwa kuliko mchezaji yeyote yule anayecheza ligi kuu ya soka nchini Tanzania huku akimzidi mnyarwanda mwenzake Medi Kagere wa Simba kwa zaidi ya shilingi milioni 6.
 
MKUUUUUU

UMEWAHII KUSOMAA.MKATABA WA NIYONZIMA NAAMINI NA HUU AJABADILIKA

KASOME.KIPENGELE MKIMRUSHA MSHAHARA MWEZI MMOJA ANAELEKEA WAPI

NA.AKIONDOKA HATA ZILE TKT ANAZONUNUA KYRUDI KWAOO MTAZILIPA HUYO NDIE NIYONZIMA

UJINGA HATAKII YAAN NAWASHAURI HUYOO SIOO KINA MOLINGA
 
Kwa habari ya mshahara nimekataa
Kiungo wa klabu ya Yanga na timu ya Taifa ya Rwanda ndugu Haruna Niyonzima amekubali kuvaa jezi namba 8 Badala ya jezi namba 55 kama ilivyo shauriwa na uongozi wa klabu ya Yanga na benchi la ufundi.
Ujio wa Haruna Niyonzima unatajwa kama usajili ghari kufanywa na Yanga na klabu za Tanzania .
Niyonzima anatarajiwa kuvuta mshahara mkubwa kuliko mchezaji yeyote yule anayecheza ligi kuu ya soka nchini Tanzania huku akimzidi mnyarwanda mwenzake Medi Kagere wa Simba kwa zaidi ya shilingi milioni 6.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimejitoa kuishabikia Yanga kwa sababu ya usajili wa huyo mnyarwanda, alituacha kipindi kigumu sana eti leo tunamsajili tena. Simba walimwacha kwa sababu hawamuhitaji leo huku kwetu kageuka lulu.
Najitoa kushabikia Yanga mpaka mnyarwanda atakapoondoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani pamoja na kucheza kwa miaka minne bado unamuona ni msaliti? Kama dau lilikuwa zuri hakufanya vibaya kuondoka. Na sikumbuki kama jamaa aliwahi ikashifu Yanga baada ya kuondoka
 
Nimejitoa kuishabikia Yanga kwa sababu ya usajili wa huyo mnyarwanda, alituacha kipindi kigumu sana eti leo tunamsajili tena. Simba walimwacha kwa sababu hawamuhitaji leo huku kwetu kageuka lulu.
Najitoa kushabikia Yanga mpaka mnyarwanda atakapoondoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh. Haya siku ukirudi utatwambia Mkuu.
 
Nimejitoa kuishabikia Yanga kwa sababu ya usajili wa huyo mnyarwanda, alituacha kipindi kigumu sana eti leo tunamsajili tena. Simba walimwacha kwa sababu hawamuhitaji leo huku kwetu kageuka lulu.
Najitoa kushabikia Yanga mpaka mnyarwanda atakapoondoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Barikiwa buda, karibu unyamani
 
Nimejitoa kuishabikia Yanga kwa sababu ya usajili wa huyo mnyarwanda, alituacha kipindi kigumu sana eti leo tunamsajili tena. Simba walimwacha kwa sababu hawamuhitaji leo huku kwetu kageuka lulu.
Najitoa kushabikia Yanga mpaka mnyarwanda atakapoondoka.

Sent using Jamii Forums mobile app

MKUUU WEKA WAZI Ama nikuwekewaZI

KAMATI YA USAJILI.SIMBA AIKUMUACHA TU SABABU YA KIWANGO

WALIANZA KUKUMBUKA KIPINDI WALIPOKUWA NA SHIDA YAKULIPA JAMAA ALIANZA ZAKE KIGALI

KAMA UAMINI YLIZA VIONGOZI WA YANGA WALIOKUWA NAE NIYO MKISHINDWA.KUMLIPA ANAONDOKA KIGALI AKIRUDI ALWAYS ANARUDI NA HOGO TAKE MA WORDS

NA AKIRUDI UNAKUTA ANA KARATASI YA HOSP YA KUMWEKA APUMZIKE ANOTHER MONTHS PESA ZAKE NDIZO ZITAMRUDISHA APONE HARAKA THAT IS DON HARUNA

HANA USAJILO CHINI YA MILONI 120

SHIDA AMBAYO NAWATAKIA HERI YANGA YANGU LWA NIYONZIMA USAJILI.NA KULIPA.MSHAHARA VITU VIWILI TOFAUTI

N.MCHEZAJI AMBAE BAADAYA KUJUA SHIDA ZA ULIPAJI.MISHAHARA NIKUJUZE SIRI TU ANAKUJA KUCHEZA AKIWA NA MSHAHARA WA MIEIZI MITANO KWA ACC...

SASA BAADA YA TANO TUOMBEANE HERI KAMA.UKATA ULIOPO UTAENDELEA NITAKUWA WAKWANZA KUWAKUMBUSHA SIKU AKIELEKEA KIGALI .....

NAMPENDA KAKAYAKE AMA.NDUGU WA KARIBU AMBAE NDIE WAKALA WAKE HUWA UJINGA HATAKI

NIWAKUMBUSHE TU TOFAUTI NAKINA MOLINGA HARUNA ANAKUJA AKIWA NA HELA NZIMA YA USAJILI IKO.KWENYE ACC NCHINI KIGALI

HARUNA ANAKUJA MSITARAJIE ATAONDOKA SHIDA HELA YA USAJILI.NEVER AKIONDOKA SHIDA N MSHAHARA WENU KUMLIPA
YULE WAKALA.MWANAUKOME

HAJUI MAMBO YA DENI NA ANAIJUA TANZANIA.MWANZO.MWISHO NA ALIPOANZA KUSUMBULIWA HARUNA KIPINDI KILE KYMBE BAADHI YA PESA ZILIZOZIDI ZA VIONGOZI WAKAJICHUKULIA HELA.WAO WAKAACHA KUMALIXANA NAE NAWAMBIA HARUNA KILA.SIKU ALIKUWA NA HOGO.MGUUNI MBAYA AKIRUDI ANAPUMZIKA.NJR MPAKA MMALIZANE NAE HUYO NDIE HARUNA

NA.KAMA.MMEMALIZA NAE AKIWA KIGALI AKIJA HAPA NA HOGO JMOSI.JTATU AMA.NNE HANA HOGO NA IJUMAA.HARUNA.ANAPIGA GOZI KAMA.SIO YULE ALIEKUJA NA HOGO

YANGA NJEMA.KWA USAJILI NIMEWAPENDA N KIJANA MZURI SANA NAWAOMBEA MSIVURUGANE HUKO.MBELEN HUYU.BWANA MKIKOSEA MASHARRTI...MTAJUTA
 
Back
Top Bottom