Lyrics Master
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 479
- 670
wimbo huo wa zamaniUpo serious?
Nikajua anamaanishawimbo huo wa zamani
Hapana! Yuko ufukweni huyo 😁Upo serious?
Halafu pale kwenye chorus Sasa;Upo serious?
Bonge moja la ngoma, nimelikumbuka tuNoma sana!
DomokayaUkome kujifanya mtu wa surprise
Vipi vingi vya kusimama...nitakuwa nimesimama niniShairi lako linaonyesha utazikwa ukiwa umesimama...
Nikajua anamaanisha
Mandojo na Domokaya hao.
Matokeo yanapogeuka kuwa kweliSikusema nae nilipomuona ufukweni,
Hakuniona nataka kumsuprise baby girl,
Mtu mwingine akaja mshika bega kabla yangu,
Kusimama Nashangaa Mara wanakiss na baby wangu,
Ile ki-silencer nagubwikwa na machozi nikimuona mchumba,
Wakarudia tena kwa Mara ya pili nikashindwa vumilia nikaenda zangu.