Lyrics Master
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 479
- 670
Sikusema nae nilipomuona ufukweni,
Hakuniona nataka kumsuprise baby girl,
Mtu mwingine akaja mshika bega kabla yangu,
Kusimama Nashangaa Mara wanakiss na baby wangu,
Ile ki-silencer nagubwikwa na machozi nikimuona mchumba,
Wakarudia tena kwa Mara ya pili nikashindwa vumilia nikaenda zangu.