Mr Presider
New Member
- May 20, 2024
- 1
- 1
Habarini ndugu zangu naitwa Laurian,
Ningependa kuomba kujua vitu mbalimbali muhimu kuhusu Ufunguaji wa Kampuni ya Usafi.
Je, naitaji kuwa na vibali kutoka wapi?
Je, Unaweza kuanza kazi ukiwa na mtaji wa shingapi na wafanyakazi wangapi?
Pia malipo yake yakoje kama iwapo ntafanikiwa wale wafanya usafi huwa wanalipwa bei gan n kwa siku week au mwezi.
Asanten sana naomben mchango wenu