Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 12,340
- 16,383
Nb-meru hadi tunavyoongea kuna mahindi mabichi mashambani mboga mboga karibia zote zinazoliwa hapo mjini si zina toka meru wakuu? Kila siku ma guta yanashusha ndizi mjini yakitokea hukohuko meru, au unazungumzia meru ya Kenya mkuu?Mtoa mada mmbea or else ni huko Arumeru kwao ndio kuna shida.. ama ni mimi sijichanganyi sana…
Me naona Arusha City tuko kawaida tu, ukiondoa suala la mchele.. unga sijui, huu mwaka wote sijawahi nunua unga dukani.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app