Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 12,340
- 16,383
Nb-meru hadi tunavyoongea kuna mahindi mabichi mashambani mboga mboga karibia zote zinazoliwa hapo mjini si zina toka meru wakuu? Kila siku ma guta yanashusha ndizi mjini yakitokea hukohuko meru, au unazungumzia meru ya Kenya mkuu?Mtoa mada mmbea or else ni huko Arumeru kwao ndio kuna shida.. ama ni mimi sijichanganyi sana…
Me naona Arusha City tuko kawaida tu, ukiondoa suala la mchele.. unga sijui, huu mwaka wote sijawahi nunua unga dukani.
Acha uongo inaelekea hujanunua mchele mwaka huu.hivi mbona sijaona huo mchele wa 3500 mpka sasa au nyie mnanunua mchele kwenye super market nn maana nanunua mchele umenyooka 2200 huo wa 3500 ni wakupikia mbinguni nn
Sasa wewe sista duu unasema hujanunua huku unabisha? Nenda dukani ujionee maajabuMtoa mada mmbea or else ni huko Arumeru kwao ndio kuna shida.. ama ni mimi sijichanganyi sana…
Me naona Arusha City tuko kawaida tu, ukiondoa suala la mchele.. unga sijui, huu mwaka wote sijawahi nunua unga dukani.
Wale vijana.huwa najiuliza sana, atakuambia ametoka Ngarenanyuki ukimuangalia ni mdogo na hapo ni saa tisa unawaza atarudi na kufika kwao saa ngapi.mtoa mada hana uongo wowote..
wamasai wanatoka huko njia ya longido wanakuja kuomba chakuka kwenye mageti ya watu....ukiwapa hata unga nusu kl wanapiga goti kushukuru...
pengine hali bado haijawa mbya zaidi kwenye eneo unaloishi..
Mkuu nunua Mchele bora upate radha kamili ya wali kama hela ya kununua ipo kama haipo wacha tuendelee kula hizi chenga zetu mada za kuchambua ubora wa mchele sijui wa kamsamba,kyela au mbarali tuwaachie wasiiogopa bei pana mashine moja pale Iyunga Mbeya 20kg walikua wanauza tsh 60,000 hapo Ndovu Arusha mchele super wa Mbeya umefika 3500..kuweza kujua huu mchele mzuri na huu mbaya inatakiwa uujue Mchele kweli..hivi mbona sijaona huo mchele wa 3500 mpka sasa au nyie mnanunua mchele kwenye super market nn maana nanunua mchele umenyooka 2200 huo wa 3500 ni wakupikia mbinguni nn