OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Laana zinaletwa na waliopo madarakani. Mungu hapendi unaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda shambani ukalime ndio uishauri serikali kuzuia mazao yasiende nje ya nchiHabari za mida..
Kuna dalili za njaa mwaka ujao kutokana na Hali ya ukame inayoendelea Nchini kwa sasa.
Sio jambo la kawaida kwa mwezi huu wa disemba mikoa ya Nyanda za Juu Kusini kutokuwa na mvua.Sehemu nilipo wananchi bado hawajaotesha Mazao kwa sababu mvua hazipo.
Hali ya hewa ni jua,joto,upepo na manyunyu tuu huku nzi wakitamalaki.
Chonde chonde Serikali zuieni kuuza chakula nje ya Nchi maana hivi tunavyoongea bei za Mazao zimeanza kupanda.Hata wale wa mahindi waliokuwa wanalia saizi wanauza kwa bei ya Kati ya 45,000-55,000 kwa gunia huku mikoani.
Ili kunusuru chakula kilichopo,nashauri serikali ipige marufuku exports ya Mazao yote ya chakula..
Kama Hali hii itaendelea ,Wananchi tujiandae kisaikolojia.Ukame umeeneo si tu Tanzania bali Hali ni mbaya zaidi Ethiopia,Kenya na Somalia.
Watu wa Hali ya hewa walitabiri hali hii toka mwezi wa tatu,wakarudia mwezi Juni na mwezi November.
halafu tuliambiwaje kuhusu mradi wa STG na uharibifu wa mazingiraTuna mpango upi wa kupanda miti mingi iwezekanavyo kufidia mamilioni ya miti yanayoharibiwa kila siku??
Mkulima ndio anyonywe kila siku. Kila mtu anufaike kwa kazi yake. Mbona mafuta yanapanda kila leo, hatuoni jitihada za kupunguza bei. Mwache mkulima apate uhuru wa kuuza kile alichotokea jasho.Habari za mida..
Kuna dalili za njaa mwaka ujao kutokana na Hali ya ukame inayoendelea Nchini kwa sasa.
Sio jambo la kawaida kwa mwezi huu wa disemba mikoa ya Nyanda za Juu Kusini kutokuwa na mvua.Sehemu nilipo wananchi bado hawajaotesha Mazao kwa sababu mvua hazipo.
Hali ya hewa ni jua,joto,upepo na manyunyu tuu huku nzi wakitamalaki.
Chonde chonde Serikali zuieni kuuza chakula nje ya Nchi maana hivi tunavyoongea bei za Mazao zimeanza kupanda.Hata wale wa mahindi waliokuwa wanalia saizi wanauza kwa bei ya Kati ya 45,000-55,000 kwa gunia huku mikoani.
Ili kunusuru chakula kilichopo,nashauri serikali ipige marufuku exports ya Mazao yote ya chakula..
Kama Hali hii itaendelea ,Wananchi tujiandae kisaikolojia.Ukame umeeneo si tu Tanzania bali Hali ni mbaya zaidi Ethiopia,Kenya na Somalia.
Watu wa Hali ya hewa walitabiri hali hii toka mwezi wa tatu,wakarudia mwezi Juni na mwezi November.
Usalama wa chakula ni muhimu sana kwa Nchi kuliko maslahi ya mtu mmja.Nenda shambani ukalime ndio uishauri serikali kuzuia mazao yasiende nje ya nchi
Bei zikiwa chini mnailaumu serikali na inatimiza wajibu wake kwa kununua.Sasa ni wajibu wa serikali kudhibiti bei kwa maslahi ya Nchi.Mkulima ndio anyonywe kila siku. Kila mtu anufaike kwa kazi yake. Mbona mafuta yanapanda kila leo, hatuoni jitihada za kupunguza bei. Mwache mkulima apate uhuru wa kuuza kile alichotokea jasho.
bababikko anamaanisha ni jukumu la Faraoh kumteua Yusufu ahakikishe ghala zinajaa vyakula vya kutosha kipindi cha neema.Hueleweki
Usalama wa chakula isiwe chanzo cha kuwafanya wakulima kupata hasara kwasababu gharama za uendeshaji wa shamba zipo juu kuliko bei yaani pembejeo zote juu kuanzia mbolea insecticide n.k. unategemeana bei ikiwepo chini Nani atamudu gharama za kilimo. Mkulima asiwe yeye ndio wa kuumia waliopo mjini kuanzia machinga , wafanyabiashara, watumishi ndio wanufaike na bei ndogo huku mkulima akiendelea kuwa masikini.inavyoonekana wewe ni mbinafsi unajiangalia wewe mwenyewe pasipo kumuangalia anayezalisha chakula hicho. Jaribu nenda kashike jembe ndio halafu chakula chako uuzie watu Kwa bei ya chiniUsalama wa chakula ni muhimu sana kwa Nchi kuliko maslahi ya mtu mmja.
Kwa sisi wakulima kwetu ni sherehe, mvua ivute vute ianze January.Habari za mida..
Kuna dalili za njaa mwaka ujao kutokana na Hali ya ukame inayoendelea Nchini kwa sasa.
Sio jambo la kawaida kwa mwezi huu wa disemba mikoa ya Nyanda za Juu Kusini kutokuwa na mvua.Sehemu nilipo wananchi bado hawajaotesha Mazao kwa sababu mvua hazipo.
Hali ya hewa ni jua,joto,upepo na manyunyu tuu huku nzi wakitamalaki.
Chonde chonde Serikali zuieni kuuza chakula nje ya Nchi maana hivi tunavyoongea bei za Mazao zimeanza kupanda.Hata wale wa mahindi waliokuwa wanalia saizi wanauza kwa bei ya Kati ya 45,000-55,000 kwa gunia huku mikoani.
Ili kunusuru chakula kilichopo,nashauri serikali ipige marufuku exports ya Mazao yote ya chakula..
Kama Hali hii itaendelea ,Wananchi tujiandae kisaikolojia.Ukame umeeneo si tu Tanzania bali Hali ni mbaya zaidi Ethiopia,Kenya na Somalia.
Watu wa Hali ya hewa walitabiri hali hii toka mwezi wa tatu,wakarudia mwezi Juni na mwezi November.
Ugali na maharage kila siku ndiyo chakula tele!!Njaa?
Hebu nenda vijijini huko ndanindani, watu vyakula vimejaa hadi vinawashinda. Kiasi kwamba mgeni ukija na kurudi mjini wanakufungashia mizigo ya maana wapungukiwe kidogo tu. Na wana akiba ya kula mwaka mzima ila bado wanalima, tatizo hawafanyi biashara kama ilivyo wengine.
Balaa la mjini na gharama za maisha visikufanye uamini hivyo