bandu bandu
JF-Expert Member
- Sep 7, 2013
- 2,747
- 871
Hata mi nashangaa naona ukijani kabisa hapo sasa kule kenya kaskazini kwenye jangwa watasemaje?alafua naombeni mnisaidie ni kwamba kuna njaa au hela hamna?mi navyojua unaposema kuna njaa inamaanisha ukienda sokoni hukuti mahindi,maharage,mchele,unga na mboga mboga lakini vyote hivyo sokoni vipo,sema tu kwa sasa mzunguko wa hela ni mdogo na vyakula vimepanda bei kidogombona naona u kijani??wapiga deal wanataka kuchafua amani ya nchi...njaa hakuna ni uongo wa mchana huo#Alternative facts
Ugali na wali sio lazima uwe mlo.
Kila mechi?Dodoma chamwino Kuna watu wanashindiaaa zambarauu
Ova
Hicho ni chakula cha asili kama ilivyo kwa mlenda na matembele kwa jamii zingine...Kuna pic mchanganyiko hapo angalia izo zingine utamkuta mama hapo, chakula chake anakiandaa, sasa sijui ndio iyo mizizi, angalia vizuri mkuu..
Chanzo azam tv kwa iyo wametuongopea mkuu...!!!Hicho ni chakula cha asili kama ilivyo kwa mlenda na matembele kwa jamii zingine...
Na Bado kishapu nako uko njaa kaliAcha uchochezi mbona Rais hajui?
Mkuu kila mwananchi liwale kwani lazima awe na mikorosho...!Lindi si wameuza korosho juzi tu kilo moja 4000/_