bandu bandu
JF-Expert Member
- Sep 7, 2013
- 2,747
- 871
Hata mi nashangaa naona ukijani kabisa hapo sasa kule kenya kaskazini kwenye jangwa watasemaje?alafua naombeni mnisaidie ni kwamba kuna njaa au hela hamna?mi navyojua unaposema kuna njaa inamaanisha ukienda sokoni hukuti mahindi,maharage,mchele,unga na mboga mboga lakini vyote hivyo sokoni vipo,sema tu kwa sasa mzunguko wa hela ni mdogo na vyakula vimepanda bei kidogombona naona u kijani??wapiga deal wanataka kuchafua amani ya nchi...njaa hakuna ni uongo wa mchana huo#Alternative facts