Tetesi: Njaa kali Liwale mkoani Lindi

Tetesi: Njaa kali Liwale mkoani Lindi

mbona naona u kijani??wapiga deal wanataka kuchafua amani ya nchi...njaa hakuna ni uongo wa mchana huo#Alternative facts
Hata mi nashangaa naona ukijani kabisa hapo sasa kule kenya kaskazini kwenye jangwa watasemaje?alafua naombeni mnisaidie ni kwamba kuna njaa au hela hamna?mi navyojua unaposema kuna njaa inamaanisha ukienda sokoni hukuti mahindi,maharage,mchele,unga na mboga mboga lakini vyote hivyo sokoni vipo,sema tu kwa sasa mzunguko wa hela ni mdogo na vyakula vimepanda bei kidogo
 
Wataalamu mzee amewaweka kwenye siasa hivo ni ngum sana kutambua which is which
 
Dodoma chamwino Kuna watu wanashindiaaa zambarauu

Ova
 
Kuna pic mchanganyiko hapo angalia izo zingine utamkuta mama hapo, chakula chake anakiandaa, sasa sijui ndio iyo mizizi, angalia vizuri mkuu..
Hicho ni chakula cha asili kama ilivyo kwa mlenda na matembele kwa jamii zingine...
 
Lindi si wameuza korosho juzi tu kilo moja 4000/_
 
Hata mkifa njaa Boeing tutanunua tu...heh ni fikra za mkuluuuu....
Nchi ya ajabu hii...
Yaani serikaliii haina time na raia wake
 
Swala la njaa liko waziii...mtu anakuja kupinga tena kapinga ni mkuu wa kaya
 
Back
Top Bottom