Tetesi: Njaa kali Liwale mkoani Lindi

Tetesi: Njaa kali Liwale mkoani Lindi

Njaa inauma chunga usichinje nyau njaa inauma umezoea kitimoto eeh njaa inaumaaa RIP Mr. Ebo
 
Wakuu wa wilaya wanajua ukweli lakini lazima waogope msamiati mgumu kutamka "NJAA"

Wanaongea wakiwa chumbani wamelalaa au ndotoni
 
Ya Allah ya Allah ya Allah tusamehe mazambi yetu na tuokoe na kila baya kwetu
 
Wakuu wa wilaya wanajua ukweli lakini lazima waogope msamiati mgumu kutamka "NJAA"

Wanaongea wakiwa chumbani wamelalaa au ndotoni
Wengine wanajiuzuru wenyewe...... Sijui shida nini mkuu??
 
Kesi yako ya uchochezi ni sawa na ya yule bwana
 
Kuna taarifa kutoka liwale mkoani lindi wamekumbwa na balaa la njaa, mpaka wanashindia mizizi poli, chanzo azam tv lakini mpaka sasa kitengo cha maafa kutoka of is I ya waziri mkuu awajathibitisha...!!
d62977c8303befa4f46f423ea777dc84.jpg
6e3d04f8f6ed6bf2a0f83a8e4e6bccc8.jpg
b6c7dc132b116d9f6ac5fef664e33c84.jpg
3d3d624230605390d3fbab5044bd7fc0.jpg
hivi nikitu gani kinafanya huko kuwe na njaa kali kipindi hiki
 
Sio la kuomba tuombe sana mwenyezi mungu atunusuru
Hivi Tanzania kuna famine? hunger? food crisis? tumesikia wanasiasa walio madaraka na wapinzani wao; viongozi wa kiroho nk wakigongana kauli juu ya hii kitu . ukienda sokoni mahindi yapo tu lakini economic access ya watu kwa hayo mahindi ikoje? Dr padre Sawio wa UDSM njoo utatue kuna njaa au hakuna?
Binafsi naona kama nchi tukubali suala la utoshelevu wa chakula hatujalipa uzito stahiki. kwa mfano kwa nini liwale wale majani ya porini au handeni washindie maembe au mgogo wa dodoma ale ubuyu ilhali kote huko kumejaa ardhi tele inayostawisha mihogo? mwaka jana mvua haikunyesha? Watu wa SUA na wataalamu wa lishe mko wapi kuleta mapinduzi ya fikra na mtizamo wa watu kuhusu chakula? kwa nini watu wasilime mihogo ambayo hata mvua isiponyesha miaka miwili mfululizo wataendelea kula ugali? mtueleweshe matumizi ya mihogo : cake;pombe; ugali; chakula mifugo; wanga; zao la biashara for export kama wataalam wa thailand wamesaidia nchi yao kuwa na kilimo biashara cha mihogo nyie mnashindwaje?
Kuendelea na kilimo cha mahindi na mpunga pekee ilhali mabadiliko ya hali ya hewa yataendelea ni kukaribisha njaa kila mwaka. Ifike mahali serikali ilazimishe kila mtu kijijini awe na walau eka moja ya mihogo vinginevyo kila mwaka mtalaumu serikali bure!
 
Inatakiwa itangazwe wananchi wilayani liwale mkoa wa lindi wanasumbuliwana hisia mbaya kwenye matumbo na kujihisi ovyo ovyo baada ya kutokula kwa wakati !
 
mbona naona u kijani??wapiga deal wanataka kuchafua amani ya nchi...njaa hakuna ni uongo wa mchana huo#Alternative facts
 
Back
Top Bottom