Njaa mbaya

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
5,715
Reaction score
13,739
Hivi unawezaje kuiba tablet (kishikwambi) yenye thamani ya laki na tisini na tano? Ukiiba unaenda kuuza shilingi ngapi?
 
ili mtu unaejilipua kununua mali ya serikali balaaa lake wanalijua?
 
Watu wanaiba hadi paka [emoji1544]
Nimecheka kifara sana,
kuna madogo wanachovya vidole kwenye nyuchi ya mbwa jike alafu wanaenda na halufu hiyo kwa geti au sehemu yenye mbwa dume.dume la mbwa linaanza kuwafata kisha wanatokomea nalo.Na hii ni kazi kabisa wanaiba na kuuza mbwa!
 
Niko kwa mama ntilie nanywa supu anakuja teja na vijiko viwili anauza mia tano yule mama akamwambia labda nikupe mia mbili

Akasema aya nipe


Sembuse tablets
 
Kijijini kwetu aliingia mwizi akakosa cha kuiba akaiba mafiga,kwa wale msioyajua ni mimawe matatu unatenga kupikia chakula kama jiko
 
Kuna watu wanaiba hadi mkaa kwenye jiko achilia mbali jivu lake.
Miaka ya nyuma nilifanya kazi sehemu kuna jamaa (mpishi) alikamatwa na nyama nusu kilo ameficha kwenye pumbu akawa anatembea kama ana busha.
Mwizi kila kitu kwake ni cha thamani anaiba hata pedi au pamoasi za jero.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…