Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Hivi unawezaje kuiba tablet (kishikwambi) yenye thamani ya laki na tisini na tano? Ukiiba unaenda kuuza shilingi ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi niliibiwa vitumbua vyangu sebuleniHivi unawezaje kuiba tablet ( kishikwambi).. chenye thamani ya laki na tisini na tano...na ukiiba unaenda kuuza shilingi ngapi?
[emoji1787][emoji1787]Mi niliibiwa vitumbua vyangu sebuleni
Nimecheka kifara sana,Watu wanaiba hadi paka [emoji1544]
Hivi unawezaje kuiba tablet (kishikwambi) yenye thamani ya laki na tisini na tano? Ukiiba unaenda kuuza shilingi ngapi?