Picha ulio weka na Mada nielezee uhusiano wake kwanza unifungue macho kdgo mkuu.View attachment 3116584
Mkopo juu ya mikopo.
Kusaini mikataba ya kukunyonya basi tu ili upate hata kidogo cha kujikimu.
Kuridhia masharti ya mganga ya kuleta damu ya mtu.
Kuuza kiwanja kwa bei ya bure ili kupunguza makali ya tabu.
Kumuua baba ili urithi mali maana uvivu wako umekuletea njaa kali.
Kumpiga kibuti bwana anaekujali na kukuthamini kisa tu anapitia wakati mgumu kifedha.
Kulelewa na jimama ili tu ujikomboe na dhiki
Kutembea na sugar daddy mme wa mtu ili tu ukimbie maisha ya uswazi (hapa mnajua mfano)
Kugeuka upinde ili ununue crown na duka la simu makumbusho
MUNGU ATUONGOZE KIFIKRA
Kweli mzee kwenye maisha the law of Give and Take inafanya kazi vizuri sana ila lazima tuwe na tahadhari and calculated moves, ukienda kichwa kichwa mafuta ya baby Johnson yanakuhusu.Ahhaha au sio
Kama unavyoona mbwa ameruka kutoka kwenye cliff ili tu amfikie na amle huyo ndege.Picha ulio weka na Mada nielezee uhusiano wake kwanza unifungue macho kdgo mkuu.
Uamuzi wowote utakao ufanya maishani mwako utawajibika nao, similarly to, any decision you make in life you are responsible for itView attachment 3116584
Mkopo juu ya mikopo.
Kusaini mikataba ya kukunyonya basi tu ili upate hata kidogo cha kujikimu.
Kuridhia masharti ya mganga ya kuleta damu ya mtu.
Kuuza kiwanja kwa bei ya bure ili kupunguza makali ya tabu.
Kumuua baba ili urithi mali maana uvivu wako umekuletea njaa kali.
Kumpiga kibuti bwana anaekujali na kukuthamini kisa tu anapitia wakati mgumu kifedha.
Kulelewa na jimama ili tu ujikomboe na dhiki
Kutembea na sugar daddy mme wa mtu ili tu ukimbie maisha ya uswazi (hapa mnajua mfano)
Kugeuka upinde ili ununue crown na duka la simu makumbusho
MUNGU ATUONGOZE KIFIKRA
Absolutely 💯Uamuzi wowote utakao ufanya maishani mwako utawajibika nao, similarly to, any decision you make in life you are responsible for it
Bila kuweka suala la binadamu mwenye akili kujitoa ufahamu na kujigaragaza garagaza kwenye vumbi (u-minjaku), ili tu upate kula list haijakamilika.View attachment 3116584
Mkopo juu ya mikopo.
Kusaini mikataba ya kukunyonya basi tu ili upate hata kidogo cha kujikimu.
Kuridhia masharti ya mganga ya kuleta damu ya mtu.
Kuuza kiwanja kwa bei ya bure ili kupunguza makali ya tabu.
Kumuua baba ili urithi mali maana uvivu wako umekuletea njaa kali.
Kumpiga kibuti bwana anaekujali na kukuthamini kisa tu anapitia wakati mgumu kifedha.
Kulelewa na jimama ili tu ujikomboe na dhiki
Kutembea na sugar daddy mme wa mtu ili tu ukimbie maisha ya uswazi (hapa mnajua mfano)
Kugeuka upinde ili ununue crown na duka la simu makumbusho
MUNGU ATUONGOZE KIFIKRA
Tena sio tu binadamu, ila binadamu mwenye nafasi ya juu katika uongozi wa nchi na wananchi.Bila kuweka suala la binadamu mwenye akili kujitoa ufahamu na kujigaragaza garagaza kwenye vumbi (u-minjaku), ili tu upate kula list haijakamilika.
Daah watanzania tuna vichwa vigumuPicha ulio weka na Mada nielezee uhusiano wake kwanza unifungue macho kdgo mkuu.