Njaa yazidi kuitafuna Kenya, shule 17 Baringo zafungwa kutokana na ukosefu wa Chakula

Ahaaa haaa haaa
kwa AKILI ndogo unaamini Somalia ina unafuu.
teh teh teh tihiii
Watanzania katika ubora wao, kwenye kila suala linalohusu nchi yao, ya 'asali na maziwa', kwenye ndoto. Udikteta, ufujaji wa hela za umma, haki za kibinadamu, demokrasia, uhuru wa kujieleza na uhuru wa wanahabari, umasikini, utapia mlo, jibu kama kawa ni;
 
Pata maumivu kidogo, njaa inazidi kuwaumiza na huku kwenye infrastructure tunawazidi "seven times".
Dar, Uganda overtake Kenya in infrastructural projects : The Standard

Hahahaha, lazima mtasalim amri mwaka huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ahaaa haaa haaa
umesahau insecurity na alshabab.
teh teh teh tihiii
 
Data kutoka UNICEF, nadhani mashirika kama hayo ndio huwa yanawalisha wasomali. Kama unaona ni hujuma kawafate Twitter au kwenye page yao ya FB na vitu kama hivo. Don't kill the messenger.

Ahaaa haaa haaa
you (the messenger) are already dead. nutrients ambazo Somalia wanazo zimetoka wapi? wakati HATA chakula hawalimi. wanangojea msaada.
pale usipochanganya za kwako na za kuambiwa. unakuwa zuzu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…