Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado unaleta ripoti za zamani wakati tayari shule zimefungwa kwa njaa huko kwenu?, kubali kwamba Kenya ni shithole country, mwaka Jana tu mlipata mvua za kutosha, vipi njaa imeanza kuwatandika mapema sana?, sisi huku tuna chakula cha ziada, njooni mchukue from your big brother.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania katika ubora wao, kwenye kila suala linalohusu nchi yao, ya 'asali na maziwa', kwenye ndoto. Udikteta, ufujaji wa hela za umma, haki za kibinadamu, demokrasia, uhuru wa kujieleza na uhuru wa wanahabari, umasikini, utapia mlo, jibu kama kawa ni;Ahaaa haaa haaa
kwa AKILI ndogo unaamini Somalia ina unafuu.
teh teh teh tihiii
Kenya imepata soko la kinyesi kule Tanzania tutawauzia kina game over , Geza Ulole mkorinto ili watoto wao wasife njaa.
Imagine the desperation of eating fecal matter.
Pata maumivu kidogo, njaa inazidi kuwaumiza na huku kwenye infrastructure tunawazidi "seven times".Watanzania katika ubora wao, kwenye kila suala linalohusu nchi yao, ya 'asali na maziwa', kwenye ndoto. Udikteta, ufujaji wa hela za umma, haki za kibinadamu, demokrasia, uhuru wa kujieleza na uhuru wa wanahabari, umasikini, utapia mlo, jibu kama kawa ni;![]()
Watanzania katika ubora wao, kwenye kila suala linalohusu nchi yao, ya 'asali na maziwa', kwenye ndoto. Udikteta, ufujaji wa hela za umma, haki za kibinadamu, demokrasia, uhuru wa kujieleza na uhuru wa wanahabari, umasikini, utapia mlo, jibu kama kawa ni;![]()
Data kutoka UNICEF, nadhani mashirika kama hayo ndio huwa yanawalisha wasomali. Kama unaona ni hujuma kawafate Twitter au kwenye page yao ya FB na vitu kama hivo. Don't kill the messenger.