Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado wanajisifia GDP ya kwenye makaratasi na idadi ya mamilioni, hii nchi ni shithole kabisa.I thought it was Only Turkana, kumbe sasa ni Kotekote Kenya majirani mlo ni shida,
Please let us know if we can help you, we are brothers.
Bado wanajisifia GDP ya kwenye makaratasi na idadi ya mamilioni, hii nchi ni shithole kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado wanajisifia GDP ya kwenye makaratasi na idadi ya mamilioni, hii nchi ni shithole kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wakenya wenyewe wamechoshwa na ujinga wa serikali yao, Mara wanataka kubadili katiba, ghafla shake hand ikajitokeza, Mara kelele za BRT, Mara Play Kenyan music, sasa inaanza njaa, hakuna hata kimoja wanachokamilisha zaidi ya kujisifia mambo ya hovyo.Ni bora ukaonekana maskini ikiwa una Kipato kuliko kuonekana Tajiri machoni pa watu ihali u fukara,
Ndio kinachoendelea kenya,
Nchi ya Hovyo kabisa kuwahi Kutokea.
Shule zimefungwa, kinachofuata ni vifo, kila mwaka lazima mupate njaa, huku mbajisifia uchumi mkubwa, mnashindwa hata na Burundi wanaweza kujilisha, bure kabisa ninyi.Angalau hawa hawajakula Mefi kama Wale vinyangarika Wa Kidanganyika......
Msuluishe mambo ya kishetani mwanzo ya kuwauwa watoto wachanga na watu wanaoishi na albinism kabla hujawika humu jf.......
Msuluishe mambo ya kishetani mwanzo ya kuwauwa watoto wachanga na watu wanaoishi na albinism kabla hujawika humu jf.......
Chakula ni hitaji la msingi (basic need),
Mtu anapokosa hitaji la msingi anakuwa na chances kubwa za Kupata cognitive disorders,
Kama vile wewe ulivyo malnutritioned.
Chakula ni hitaji la msingi (basic need),
Mtu anapokosa hitaji la msingi anakuwa na chances kubwa za Kupata cognitive disorders,
Kama vile wewe ulivyo malnutritioned.
Utapia mlo/malnutrition, mmeizidi hata Somaaliyah. Aisee! [emoji15] Hizi takwimu zote ni kutoka kwa UNICEF.![]()
Data kutoka UNICEF, nadhani mashirika kama hayo ndio huwa yanawalisha wasomali. Kama unaona ni hujuma kawafate Twitter au kwenye page yao ya FB na vitu kama hivo. Don't kill the messenger.Ahaaa haaa haaa
kwa AKILI ndogo tu unaamini Somalia ina unafuu.
teh teh teh tihiii
Bado unaleta ripoti za zamani wakati tayari shule zimefungwa kwa njaa huko kwenu?, kubali kwamba Kenya ni shithole country, mwaka Jana tu mlipata mvua za kutosha, vipi njaa imeanza kuwatandika mapema sana?, sisi huku tuna chakula cha ziada, njooni mchukue from your big brother.Stunted growth ambayo inasababishwa na ukosefu wa lishe bora. Hivi hamuonagi aibu Tz, nchi yenye rotuba na mvua ya kutosha, ikiekwa kwenye kikapu kimoja na Somalia, nchi ambayo imekuwa kwenye vita kwa miaka mingi? Alafu mnajifananisha na Kenya, nchi kame kwa zaidi ya 70%, na ambayo kwenye lishe bora imewazidi!![]()