Pre GE2025 Njama: Inadaiwa 'Mfumo' unapanga kuvuruga Uchaguzi wa CHADEMA ili ionekane chama hicho hakina Amani

Pre GE2025 Njama: Inadaiwa 'Mfumo' unapanga kuvuruga Uchaguzi wa CHADEMA ili ionekane chama hicho hakina Amani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mnyika angeanza kwanza na kina Ntobi, MMM, Boniyai na Yericko. Hao wanatukana yeyote atakayempinga Sultani Mbowe na hawachukuliwi hatua. Haihitaji kuwa Sheikh Yahya kujua kwamba ngumi zitapigwa kwenye uchaguzi wenu. Mimi naona mpigane tu.
Na wewe unamtukana mbowe
 
MC chakula ni kidogo tangaza kuwa tumechinja nguruwe ili waislam wapungue
1. Walawi 11:7-8
"Nguruwe, kwa sababu ana kwato zilizogawanyika, lakini hacheui, huyo ni najisi kwenu. Nyama yao msile, wala mizoga yao msiguse; hao ni najisi kwenu."

2. Kumbukumbu la Torati 14:8
"Nguruwe, kwa sababu ana kwato zilizogawanyika, lakini hacheui, huyo kwenu ni najisi; nyama yao msile, wala mizoga yao msiguse."
 
Attachments

  • IMG_9942.jpeg
    IMG_9942.jpeg
    261.3 KB · Views: 1
  • IMG_9941.jpeg
    IMG_9941.jpeg
    220.1 KB · Views: 1
  • IMG_9940.jpeg
    IMG_9940.jpeg
    214 KB · Views: 1
Malalamiko F.C

This is preemptive.

Yaani wanajua kwamba tayari kuna mpasuko kati ya Kundi Lissu na Genge Mbowe.

Haya makundi yamo hata hapa J.F

Itoshe kusema, makundi na magenge haya- wananyukana kwa maneno humu J.F na sasa wanaenda kunyukana kwa mikono mitaani!

Joni Mnyika anayjua hayo ila ili kuficha aibu mbele ya wanachama wake, Wananchi, na Dunia nzima, wameanza kuwasingizia Mfumo.😂😂😂🔥

Uzeni sera, sio kulalama tu kila siku kuwa mnaonewa huku mnaonekana mnanenepeana na Ruzuku.🤯

This is just another tactile...take action against CCM. Its an attack to prevent a suspected(though very doubtful)imminent attack.
Hawa jamaa kumbe ni wapumbavu sana. Kwa Chama gani na kwa kitisho gani Hadi mfumo uingilie kati hapo?!!!!!
 
Lakini fahamu pia kuwa kujuwa njama na kuzitoa, haitoshi.

Ni lazima mjipange vizuri kuzizuia njama hizo.
Ombeni michango ya mawazo namna nzuri ya kuwabana hao wenye njama wasiwavuruge.

Mimi mchango wangu ni huu:
Kwa kila mkusanyiko wa wanachama wenu na viongozi, ni lazima pawepo na watu wenu maalum wanaojuwa kinacho endelea kwenye mikusanyiko yenu yote.
Wawepo watu wanao tambulika waziwazi kuwa wanafanya kazi hiyo kwenye mikutano, na pia pawepo na timu" ninja" isiyo tambulika.

Silaha kuu ya hawa wote ni kamera za simu zao. Kila atakaye anza vurugu ni lazima aonekane na kumbukumbu iwepo ya tukio husika.

Msifanye mzaha, kubeza au kudharau. Hali upande wa pili ni ngumu zaidi kwa hiyo watataka kupata ahueni ikiwezekana kuhamishia baadhi ya matatizo yao kwenu.
So far chama kimeisha ipata ,imeissha iyo ,chadema sio nyepesi watu waionavyo ,zitatembea code mpaka hao watakao kucheza mchezo mchafu watabaki kama mbwa koko, ni imani yangu hii imeisha
 
Mnajihami 😂 chama kishajifia siku nyingiiii laana ya JPM inawatafuna saizi mnajiuma wenyewe.. wananchi ndo wataamini sasa kwamba hakuna mpinzani wa kweli tz🤣
Kulaaniwa yeye aliyatanani kuitanguliza cdm shimoni anatangulia yeye
 
1. Walawi 11:7-8
"Nguruwe, kwa sababu ana kwato zilizogawanyika, lakini hacheui, huyo ni najisi kwenu. Nyama yao msile, wala mizoga yao msiguse; hao ni najisi kwenu."

2. Kumbukumbu la Torati 14:8
"Nguruwe, kwa sababu ana kwato zilizogawanyika, lakini hacheui, huyo kwenu ni najisi; nyama yao msile, wala mizoga yao msiguse."
Allah Akbar!
 
Kwani mwamba bado anakomaa kutaka 5 mingine kama bi mkubwa?
 
Tundu lissu anatosha na ndo mwenyekiti wa chadema
Hilo Jina CCM wakilisikia tu, kila kitu huwaponyoka toka mikononi hadi kichwani. Sijui ni kwa nini watawala na machinery zao wanamuogopa sana huyu mwamba? Marisasi yalimshindwa kwa muujiza wa Mungu, sasa bado wanaye tu na wanapuyanga naye. Sijui watamuacha lini aendelee kupumua kama wao?
 
Wasamalia wema wamevujisha Taarifa hii kwa Katibu Mkuu wa Chadema, Kwamba Watu wa Mfumo wametumwa kuvuruga Uchaguzi wa Chadema kwa faida ya Mamluki anayewatuma

Taarifa kamili hii hapa

Nimepata taarifa kuwa mfumo unapanga kufanya vurugu kwenye matukio ya Chama au wanachama wakati huu wa mchakato wa uchaguzi wa ndani. Lengo ni kutengeneza taswira kuwa wagombea wanaoshindana wamefikia hatua ya wafuasi wao kupigana.

Viongozi na wagombea mchukue tahadhari za kiulinzi na kiusalama. Wakati huo huo narudia kuwahimiza kila mmoja kuzingatia maadili na miongozo ya Chama katika kipindi hiki.

Kumbukeni kuwa Chadema imepevuka kutoka kuwa Chama cha wanachama na kuwa taasisi ya umma.Watanzania wana imani na matumaini na Chadema. Kila mmoja ashiriki kuilinda taasisi hii ikiwa ni chombo cha Demokrasia, Haki, Uhuru, Mabadiliko, Utu na Maendeleo ya Watu.

View attachment 3180602View attachment 3180603

Ujumbe: Shetani hajawahi kumshinda Mungu
Pamoja na kupelekewa malalamiko rasmi ya kuwepo kwa njama za Lissu kuuawa, Polisi wamesema Lissu ni raia wa kawaida hivyo hawawezi kumpa ulinzi.
 
Wasamalia wema wamevujisha Taarifa hii kwa Katibu Mkuu wa Chadema, Kwamba Watu wa Mfumo wametumwa kuvuruga Uchaguzi wa Chadema kwa faida ya Mamluki anayewatuma

Taarifa kamili hii hapa

Nimepata taarifa kuwa mfumo unapanga kufanya vurugu kwenye matukio ya Chama au wanachama wakati huu wa mchakato wa uchaguzi wa ndani. Lengo ni kutengeneza taswira kuwa wagombea wanaoshindana wamefikia hatua ya wafuasi wao kupigana.

Viongozi na wagombea mchukue tahadhari za kiulinzi na kiusalama. Wakati huo huo narudia kuwahimiza kila mmoja kuzingatia maadili na miongozo ya Chama katika kipindi hiki.

Kumbukeni kuwa Chadema imepevuka kutoka kuwa Chama cha wanachama na kuwa taasisi ya umma.Watanzania wana imani na matumaini na Chadema. Kila mmoja ashiriki kuilinda taasisi hii ikiwa ni chombo cha Demokrasia, Haki, Uhuru, Mabadiliko, Utu na Maendeleo ya Watu.

View attachment 3180602View attachment 3180603

Ujumbe: Shetani hajawahi kumshinda Mungu
Kila kambi, ya Ayatollah Mbowe na Mropokaji Lissu inajaribu kujihami kwa kisingizio Cha system kuharibu uchaguzi! Ahahahahaha!! Mbinu ya kitoto hata uchaguzi wa monitor wa darasa hawezi kuutumia! Ahahahahaha!!!
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom