Pre GE2025 Njama: Inadaiwa 'Mfumo' unapanga kuvuruga Uchaguzi wa CHADEMA ili ionekane chama hicho hakina Amani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mnyika angeanza kwanza na kina Ntobi, MMM, Boniyai na Yericko. Hao wanatukana yeyote atakayempinga Sultani Mbowe na hawachukuliwi hatua. Haihitaji kuwa Sheikh Yahya kujua kwamba ngumi zitapigwa kwenye uchaguzi wenu. Mimi naona mpigane tu.
Na wewe unamtukana mbowe
 
MC chakula ni kidogo tangaza kuwa tumechinja nguruwe ili waislam wapungue
1. Walawi 11:7-8
"Nguruwe, kwa sababu ana kwato zilizogawanyika, lakini hacheui, huyo ni najisi kwenu. Nyama yao msile, wala mizoga yao msiguse; hao ni najisi kwenu."


2. Kumbukumbu la Torati 14:8
"Nguruwe, kwa sababu ana kwato zilizogawanyika, lakini hacheui, huyo kwenu ni najisi; nyama yao msile, wala mizoga yao msiguse."
 
Hawa jamaa kumbe ni wapumbavu sana. Kwa Chama gani na kwa kitisho gani Hadi mfumo uingilie kati hapo?!!!!!
 
So far chama kimeisha ipata ,imeissha iyo ,chadema sio nyepesi watu waionavyo ,zitatembea code mpaka hao watakao kucheza mchezo mchafu watabaki kama mbwa koko, ni imani yangu hii imeisha
 
Mnajihami 😂 chama kishajifia siku nyingiiii laana ya JPM inawatafuna saizi mnajiuma wenyewe.. wananchi ndo wataamini sasa kwamba hakuna mpinzani wa kweli tz🤣
Kulaaniwa yeye aliyatanani kuitanguliza cdm shimoni anatangulia yeye
 
Allah Akbar!
 
Kwani mwamba bado anakomaa kutaka 5 mingine kama bi mkubwa?
 
Tundu lissu anatosha na ndo mwenyekiti wa chadema
Hilo Jina CCM wakilisikia tu, kila kitu huwaponyoka toka mikononi hadi kichwani. Sijui ni kwa nini watawala na machinery zao wanamuogopa sana huyu mwamba? Marisasi yalimshindwa kwa muujiza wa Mungu, sasa bado wanaye tu na wanapuyanga naye. Sijui watamuacha lini aendelee kupumua kama wao?
 
Pamoja na kupelekewa malalamiko rasmi ya kuwepo kwa njama za Lissu kuuawa, Polisi wamesema Lissu ni raia wa kawaida hivyo hawawezi kumpa ulinzi.
 
Kila kambi, ya Ayatollah Mbowe na Mropokaji Lissu inajaribu kujihami kwa kisingizio Cha system kuharibu uchaguzi! Ahahahahaha!! Mbinu ya kitoto hata uchaguzi wa monitor wa darasa hawezi kuutumia! Ahahahahaha!!!
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…