Pre GE2025 Njama: Inadaiwa 'Mfumo' unapanga kuvuruga Uchaguzi wa CHADEMA ili ionekane chama hicho hakina Amani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
MGONJWA ANAPEWA UJI ILA MKALI HUYOOO๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ KIDOGO TU ANATISHIA KUJIUA SAIZI HATUSTUKI TUPO ZETU SEBLENI TUNAJINYWEA GAKHAWAA๐Ÿคฃ MNAJITEKENYA NA KUCHEKA WENYEWE KAMA VICHAA WALOOMA JALALA JIPYA
Wewe na mleta mada Erythrocyte nani anayecheka....hivi unawezaje kuandika point zako mwenyewe huku unacheka...hii nayo ni kipaji cha aina yek
 
Viongozi na wagombea mchukue tahadhari za kiulinzi na kiusalama. Wakati huo huo narudia kuwahimiza kila mmoja kuzingatia maadili na miongozo ya Chama katika kipindi hiki.๐Ÿ“Œ๐Ÿ”จ
 
Obvious, hili liko wazi....

Mfano inawezekana vipi Mwenyekiti wa mkoa mfano (Emmanuel Ntobi wa Shinyanga) amtukane Makamu Mwenyekiti wake Tundu Lissu hadharani na aachwe tu...?

Pia juzi pale nyumbani kwa Freeman Mbowe mbele yake mwenyewe Mwenyekiti wa chama taifa, karibu wazungumzaji wote walitumia lugha ya kashfa isiyo na staha kabisa dhidi ya Makamu Mwenyekiti wao...

Bahati mbaya hata Mwenyekiti naye aliposimama kuzungumza hakujitofautisha na wapambe wake kwa kiwango kikubwa...

Yote hii ni ku - instigate vurugu kwa kuchokoza wafuasi wa upande wa pili au wa wagombea wengine kujibu mapigo...

Hii haifai. Tangazeni sera na mipango ya kukiendeleza chama...

Na wewe Freeman Mbowe, kama unataka kuendelea kuwa Mwenyekiti, toa hoja za kushawishi watu wakuelewe....

Jibu hoja za washindani wako kihusu mapungufu ya mbinu na mikakati yako ktk ujenzi wa chama kwa miaka mitano ijayo. Acha ukali na jazba zusizokuwa na kichwa wala miguu..,
 
Mnajitekenya na kucheka wenyewe

Nani ahangaike na chama mfu?
 

Mfumo unamtaka mbowe na wananchi wazalendo wanamtaka lissu
 
naona munajitekenya na kucheka wenyewe, Twambieni Mwenyekiti anachukua fomu au hachukui tujue kama tunaze kampeni ama vipi
 


Ni kweli kabisa Juzi niliona kwa haraka haraka wetu wa nne wa kutoka huko ndani walikua wameandamana kumshinikiza Mbowe achukue Form . Nilishangaa sana .
Mmoja alikaa mbele kabisa na hua anapeleka taarifa zake juu kabisa.

Bahati nzuri Mbowe alitumia akili sana kusema kuwa atatoa majibu baada ya siku mbili.

Mbowe angekurupuka akatoa majibu pale pangetokea fojo kubwa sana na wangesingizia kuwa ni watu wa Lisu.

Mbowe kukata mizizi ya fitina ni kuachana na mambo ya kugombea ili Busara zake zizidi kuonekana .
Lisu atakipeleka chama mbele bila kutetereka .
 
Viongozi na wagombea mchukue tahadhari za kiulinzi na kiusalama. Wakati huo huo narudia kuwahimiza kila mmoja kuzingatia maadili na miongozo ya Chama katika kipindi hiki.๐Ÿ“Œ๐Ÿ”จ
Unakumbuka shuka alfajiri. Hilo angalizo halina nguvu yeyote sasa hivi.Mnapopoana sana na hamsiti kutafuta visingizio. Hii kazi ya kukibomoa chama chenu mnaifanya kwa uweledi mkubwa. The train has already left the station.
 
Unakumbuka shuka alfajiri. Hilo angalizo halina nguvu yeyote sasa hivi.Mnapopoana sana na hamsiti kutafuta visingizio. Hii kazi ya kukibomoa chama chenu mnaifanya kwa uweledi mkubwa. The train has already left the station.
Mwongo wee!!
 
Nyie Team Mbowe hamueleweki
 
Mwongo wee!!
Pinga ukweli.Umesikiliza mahojiano ya Ezekiel Wenje na VOT chini ya watangazaji A.Nyanda na Yohana?
Kila kitu kipo wazi huwezi kuziba jua na ungo.
Kesho Mwenyekiti Mbowe akiamua kugombea utapata ukweli.
 
Intelijensia ya CHADEMA sio ya mchezo Lumumba wanazidi kuumbuka.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜
Hahahaha CDM nawapendaga apa tu.. wazuri kwa kubadilisha milizu ..losser.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ