Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Hii ndio taarifa iliyotolewa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar kwa waandishi wa habari , huku ofisa wa Tume hiyo akionekana kuwa na uso wa bashasha jambo lililoashiria kufurahia pingamizi hilo , ameendelea kusisitiza uhalali wa pingamizi jambo lililoshangaza wengi .
Tuendelee kutega sikio kwa yatakayojiri .
Ngoja nikemee kidogoMkuu kukemea tu haitoshi Ni viboko walambwe hayo mapepo!
Kama Mbeligiji Lissu alipomuwekea pingamizi Magufuli, mbona hamkusema kama ni njama?Hii ndio taarifa iliyotolewa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar kwa waandishi wa habari , huku ofisa wa Tume hiyo akionekana kuwa na uso wa bashasha jambo lililoashiria kufurahia pingamizi hilo , ameendelea kusisitiza uhalali wa pingamizi jambo lililoshangaza wengi .
Tuendelee kutega sikio kwa yatakayojiri .
Wakoloni kutoka Tanganyika bana hawaishiwi vituko!Hii ndio taarifa iliyotolewa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar kwa waandishi wa habari , huku ofisa wa Tume hiyo akionekana kuwa na uso wa bashasha jambo lililoashiria kufurahia pingamizi hilo , ameendelea kusisitiza uhalali wa pingamizi jambo lililoshangaza wengi .
Tuendelee kutega sikio kwa yatakayojiri .
kuna ukweli gani ?Mbona hujaweka sababu ya pingamizi wakati ameisema wazi tarehe za kiapo ni za nyuma kabla ya kuanza zoezi? Watu wengine kama wewe hovyo kabisa.
Hawa jamaa no waoga sana aiseeHii ndio taarifa iliyotolewa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar kwa waandishi wa habari , huku ofisa wa Tume hiyo akionekana kuwa na uso wa bashasha jambo lililoashiria kufurahia pingamizi hilo , ameendelea kusisitiza uhalali wa pingamizi jambo lililoshangaza wengi .
Tuendelee kutega sikio kwa yatakayojiri .
Wananamchezea Maalim Seif, sisi tupo kwetu umalilaWatu wakiingia barabarani shauri yao
Hawakujifunza kupitia vita vya Uganda!?CCM inalazimisha vita kwa udi na uvumba
Hawa watu kuna jambao wanalazimisha litokeeHii ni mara ya sita anagombea si rahisi kukosea ni mambo ya Jecha hayo
Kwani hapo kuna kipi kigeni wakati Jecha alifuta kabisa matokeo na zanzibar hadi leo ipo?Wajaribu waone ndio utakuwa mwisho wa Zanzibar
Wewe ndiye mwenyekiti wa tume?Kiapo chake ametia saini 07/07/2020 ambapo tume ilikuwa bado haijatoa fomu!
Wanasheria wa ACT kama ismail Jussa hawakuzipitia fomu zote ili kujiridhisha na usahihi wake?Kiapo chake ametia saini 07/07/2020 ambapo tume ilikuwa bado haijatoa fomu!
Ccm wanafanya michezo ya kishamba sanaACT hawakukumbuka kumwekea pingamizi Mwinyi?
Ile ya kimya kimya ya Membe haisaidii. Hawa ni wa kukutana nao head on!
Hawa the yaonesha wameamua kucheza na moto.
Tusiwaache hawa jamaa kututumbukiza kusiko kwema.
Tuwakemee hawa kwa umoja wetu na kwa nguvu zetu zote bila kujali vyama vyetu.
Ingependeza zaidi ma CCM wangekuwa mstari wa mbele kwenye hili kwa mustakabala wa amani na muungano wetu walioapa kuulinda kwa nguvu zote.