MUNGU AKATUJALIE UCHAGUZI WA HAKI NA AMANI. awajalie watawala kujua uhai na pumzi kuwa ni mali ya Mungu,na Makeke yote Mungu ndo mwamuziMtoto akiliia wembe mpe!
Wameamua kuleta vurugu Zanzibar na kuua Wazanzibar, Sasa hata tone moja la damu ya Wazanzibar ikimwagika itakuwa mikononi mwao
Bavicha daima ni mbumbumbuKama Mbeligiji Lissu alipomuwekea pingamizi Magufuli, mbona hamkusema kama ni njama?
Kiapo chake ametia saini 07/07/2020 ambapo tume ilikuwa bado haijatoa fomu!
Wewe ni mzanzibari?Wajaribu waone ndio utakuwa mwisho wa Zanzibar
Vitisho vya kijinga!
Aliyeleta uzi huu ni mwenyekiti wa tume?
Mbona hukuuliza swali Hilo wakati Lissu alipowawekea pingamizi wagombea wenzake wawili wa urais wa JMT?Ina maana naye alikosea kujaza fomu au kunani jamani?
Inaonekana alikuwa na fomu siku nyingi nyumbani kwake.Kiapo chake ametia saini 07/07/2020 ambapo tume ilikuwa bado haijatoa fomu!
Mbona hukuuliza swali Hilo wakati Lissu alipowawekea pingamizi wagombea wenzake wawili wa urais wa JMT?
Kama kafanya makusudi ili asigombee unajuaje? Hao janja nyingi Sana, inawezekana alijichadema akavuta mshiko.Ngumu kumeza. Siwabadilishe tu hiyo saba kuwa tisa?
Hii ndio taarifa iliyotolewa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar kwa waandishi wa habari , huku ofisa wa Tume hiyo akionekana kuwa na uso wa bashasha jambo lililoashiria kufurahia pingamizi hilo , ameendelea kusisitiza uhalali wa pingamizi jambo lililoshangaza wengi .
Tuendelee kutega sikio kwa yatakayojiri .
[/QUOTE
Sisi tutapiga Magoti na pia tutasali tutamwambia MUNGU atujalie amani na furahaa. awezi kutupa nyoka
Pingamizi haliangalii sura ,dini ,chama ,kabila ,rangi au umri,hakuna ajabu hapo ,cha msingi haki itendeke kwa woteHii ndio taarifa iliyotolewa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar kwa waandishi wa habari , huku ofisa wa Tume hiyo akionekana kuwa na uso wa bashasha jambo lililoashiria kufurahia pingamizi hilo , ameendelea kusisitiza uhalali wa pingamizi jambo lililoshangaza wengi .
Tuendelee kutega sikio kwa yatakayojiri .
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],kanasa kwenye tundu bovuKiapo chake ametia saini 07/07/2020 ambapo tume ilikuwa bado haijatoa fomu!
Hii haina athari apitishwe tu.Kiapo chake ametia saini 07/07/2020 ambapo tume ilikuwa bado haijatoa fomu!
Wanasema form badala ya kujazwa na kuonyesha tarehe 9 September 2020, mzee kaweka tarehe 7 July 2020Ina maana naye alikosea kujaza fomu au kunani jamani?