Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #61
ukweli huu nani atathibitisha ?Sheria inataka kiapo kifanyike siku ya kurejesha na ndio usaini na tarehe .yeye amesaini 07/09/2020 na amewakilisha jana tarehe 09/09/2020.makosa haya makatibu wengi wanayajua sijui hakuwa na msàidizi wa kuielewa fomu.
ni yule yule mamluki Hamad RashidNani aliweka pingamizi ?
Huu ni ujinga lakini. Kweli unaacha kumpitisha mtu kisa typing error?? Tena mtu mwenye uzpefu wa kugombea toka 1995. Ebu twendeni field tuachane na haya mambo ya pingamizi, ni ya kitoto sana. Waacheni waZanzibar wachague kiongozi wamtakaye, mmewadhurumu miaka mingi sana.Sheria inataka kiapo kifanyike siku ya kurejesha na ndio usaini na tarehe .yeye amesaini 07/09/2020 na amewakilisha jana tarehe 09/09/2020.makosa haya makatibu wengi wanayajua sijui hakuwa na msàidizi wa kuielewa fomu.
Lissu aligundua njama za mapandikizi kumuwekea pingamizi akaanza na aliowatuma..GeniusKama Mbeligiji Lissu alipomuwekea pingamizi Magufuli, mbona hamkusema kama ni njama?
KIVIPI? WATAGAWANA MBAO??? 🤣🤣🤣🤣Wajaribu waone ndio utakuwa mwisho wa Zanzibar
Atakuwa Maalim kafanya kusudi asishiriki uchaguzi huu.Kiapo chake ametia saini 07/07/2020 ambapo tume ilikuwa bado haijatoa fomu!
Kwaiyo ccm umekosea nini?CCM inalazimisha vita kwa udi na uvumba
Anaweza kosea kwasababu kanuni zilizo tumika mwaka 2000 siyo zinazo tumika 2020 kugombea mara sita tatizo..Hii ni mara ya sita anagombea si rahisi kukosea ni mambo ya Jecha hayo
Yaani kwa CCM yetu ni kama vile hakuna MAISHA nje ya madaraka. Mazoea mabaya kweli hayo. Yamevuruga hadi chaguzi zetu. Sasa wanataka vyote kabisa. Urais, Bunge na Halmashauri zote kabisa. Vijiji na mitaa walishachukua vyote.Hii ndio taarifa iliyotolewa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar kwa waandishi wa habari, huku ofisa wa Tume hiyo akionekana kuwa na uso wa bashasha jambo lililoashiria kufurahia pingamizi hilo, ameendelea kusisitiza uhalali wa pingamizi jambo lililoshangaza wengi.
Tuendelee kutega sikio kwa yatakayojiri .
Tumepeleka Pemba jeshi la kutosha, atakayejinganya kuingia road atakuwa halali ya MekoWatu wakiingia barabarani shauri yao.
Mbona huyu Jmr alikosea picha aliachwaKiapo chake ametia saini 07/07/2020 ambapo tume ilikuwa bado haijatoa fomu!