Zanzibar 2020 Njama? Mgombea wa Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Maalim Seif awekewa Pingamizi

Zanzibar 2020 Njama? Mgombea wa Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Maalim Seif awekewa Pingamizi

Sheria inataka kiapo kifanyike siku ya kurejesha na ndio usaini na tarehe .yeye amesaini 07/09/2020 na amewakilisha jana tarehe 09/09/2020.makosa haya makatibu wengi wanayajua sijui hakuwa na msàidizi wa kuielewa fomu.
ukweli huu nani atathibitisha ?
 
Sheria inataka kiapo kifanyike siku ya kurejesha na ndio usaini na tarehe .yeye amesaini 07/09/2020 na amewakilisha jana tarehe 09/09/2020.makosa haya makatibu wengi wanayajua sijui hakuwa na msàidizi wa kuielewa fomu.
Huu ni ujinga lakini. Kweli unaacha kumpitisha mtu kisa typing error?? Tena mtu mwenye uzpefu wa kugombea toka 1995. Ebu twendeni field tuachane na haya mambo ya pingamizi, ni ya kitoto sana. Waacheni waZanzibar wachague kiongozi wamtakaye, mmewadhurumu miaka mingi sana.
 
Huyo aliyemuwekea pingamizi ajaandae kuhamia kituo cha polisi na familia yake, ujinga huu saa nyingine lazima ukomeshwe kwa namna inayofaa hata kama ni kumpeleka Kwerekwe akapumzike
 
Hapa tunapiga ramli tu. Mara kiapo kimeandikwa 7-7-2020 mwingine anasema kimeandikwa 7-9-2020. Na pia tamko la ACT kuhusu pingamizi lililoelekezwa kwa Maalim Seif lipo kiujumlajumla na halionyeshi pingamizi linahusu kitu gani!
 
Huyo anayejiita KICHAA ni mtu hatari sana na ni janga kubwa la Taifa. Anaweza kabisa kuwa chanzo cha machafuko ya kutisha Nchini kutokana na uking’ang’anizi wake wa madaraka kupitia njia haramu Bara na Visiwani.
 
Ukiangalia fomu ipo sawa haijakosewa. Mkurugenzi wa tume alisema alijaza Tarehe 7/7 2020, hapa kwenye fomu inaonyesha wazi amejaza tarehe 7/09.

Tusubiri jibu la tume kuhusu hilo pingamizi. Natumaini haki itatendeka.

1599768004794.png
 
Hii ndio taarifa iliyotolewa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar kwa waandishi wa habari, huku ofisa wa Tume hiyo akionekana kuwa na uso wa bashasha jambo lililoashiria kufurahia pingamizi hilo, ameendelea kusisitiza uhalali wa pingamizi jambo lililoshangaza wengi.


Tuendelee kutega sikio kwa yatakayojiri .
Yaani kwa CCM yetu ni kama vile hakuna MAISHA nje ya madaraka. Mazoea mabaya kweli hayo. Yamevuruga hadi chaguzi zetu. Sasa wanataka vyote kabisa. Urais, Bunge na Halmashauri zote kabisa. Vijiji na mitaa walishachukua vyote.
 
Yaani Hutu lina akili za ajabu sana anafuta kumwaga damu kwa udi na uvumba ndio maana kajaza huko magari ya jeshi , polisi utafikiri kuna vita , CCM tafadhali turudishieni nchi yetu kutoka mikononi mwa mhutu.
IMG_20200910_151541.jpg
 
Kukosea tarehe ndio itunyime kumpata Rais bora.. mbona watanzania tunakua wehu kiasi hiki.

Kama terehe imekosewa inarejebishwa na mambo yanaendelea.

Kuna mamno serious ambayo kweli mtu hastahili kuwa Rais.

Kama makosa ya jinai etc

Hata deni la serena ni izushi mkubwa.
 
Back
Top Bottom