Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Huyo mbunge ni wa CCM na hakuna kinacho mstua?Cha kushangaza Jimbo la ngorongoro bado lipo na watu wake wapo na linaye mbunge hadi sasa.
Mkuu nazani huwajui wamasai wewe, Huwajui kabisaaa, Wamasai sio wayu wa kutetea kabisa kabisa na Chadema inatumia nguvu kubwa sana kuteymtea watu wasio staili kutetewa.Hili ndilo angalizo la kwanza kabisa ambalo Tundu Lissu amewapa Viongozi wapya wa TLS.
Lissu amesema kwamba zaidi ya watu laki 1 wa Jimbo hilo wako mbioni kupoteza haki yao ya kupiga kura, kwa sababu Sheria za uchaguzi zinaelekeza wapige kura walipojiandikisha, walijiandikisha Ngorongoro ambako vituo vyote vimefutwa, wanatakiwa wahamie msomera Handeni ambako hawatapiga kura kwa vile hawakujiandikishia huko na wala siyo kwao.
Cha kushangaza Jimbo la ngorongoro bado lipo na watu wake wapo na linaye mbunge hadi sasa.
View attachment 3060053
Ila maswala mengine unaunga mkono? Kwa kifupi Samia hafai hafai na yuko kwa ajili ya kuuza hii nchi. Ila Wamasai nao sio watu wa kuwatetea ni wajinga sana wale nawajua sana.Katika watu wasio stahili kutetewa nchi hii basi ni wamasai.Kwa hili la kuwanyanyasa wamasai Simuungi mkono Samia, abadan.
Tunaendelea kuwaamsha polepoleMkuu nazani huwajui wamasai wewe, Huwajui kabisaaa, Wamasai sio wayu wa kutetea kabisa kabisa na Chadema inatumia nguvu kubwa sana kuteymtea watu wasio staili kutetewa.
Pale Ngorongoro ukafanyika uchaguzi huru na wa haki CCM inashinda asubuhi sana, Wamasi sio watu wa kuwatetea hawaaminini hata kidogo na kubadilika ni swala la sekunde.
Sasa Mbunge wa swala ni wa kazi gani?Kwani swala wanapiga kura
Wangeanza na wahadzabe maana wao ndio wako maporini zaidi na wanaishi a far more primitive life than the MaasaiWahame huko maporini
Ngorongoro ni protected areaWangeanza na wahadzabe maana wao ndio wako maporini zaidi na wanaishi a far more primitive life than the Maasai
Tangu lini?Ngorongoro ni protected area
Noma sana!Daah!Hawa wahuni..Mbunge na jimbo hawajafuta?Tutakomaa tu.
Usichanganye uhuru wa mpigakura kuchagua kiongozi anayemtaka, na haki ya wamasai kuishi eneo walipozaliwa na kukulia, na walipowazika bibi na mababu zao.Ila maswala mengine unaunga mkono? Kwa kifupi Samia hafai hafai na yuko kwa ajili ya kuuza hii nchi. Ila Wamasai nao sio watu wa kuwatetea ni wajinga sana wale nawajua sana.Katika watu wasio stahili kutetewa nchi hii basi ni wamasai.
✅✅✅Usichanganye uhuru wa mpigakura kuchagua kiongozi anayemtaka, na haki ya wamasai kuishi eneo walipozaliwa na kukulia, na walipowazika bibi na mababu zao.
Wamasai kuchagua CCM sio ujinga, ni maamuzi yao usiwaingilie, kama ambavyo hayupo mmasai aliyewahi kuingilia uhuru wako wa kuichagua Chadema.
Hapo Lissu alichofanya ni kupigania haki ya kupiga kura kwa wamasai, hafanyi hivyo ili kusudi wamasai waichague Chadema kwasababu hakuna popote alipotamka hivyo.
Pale ambapo wamasai watarudishiwa haki yao ya kuchagua viongozi wanaowataka, ndipo Lissu na wenzake wataenda Ngorongoro kuwashawishi wamasai waichague Chadema.