Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Baada ya kupiga kura za kuchagua viongozi wa TLS, Mhe. Tundu Lissu alitoa hoja inayohusu uandikishaji wa daftari la wapiga kura kwa wananchi wa Ngorongoro.
Lissu amesema kwamba zaidi ya watu laki 1 wa Jimbo hilo wako mbioni kupoteza haki yao ya kupiga kura, kwa sababu Sheria za uchaguzi zinaelekeza wapige kura walipojiandikisha, walijiandikisha Ngorongoro ambako vituo vyote vimefutwa, wanatakiwa wahamie msomera Handeni ambako hawatapiga kura kwa vile hawakujiandikishia huko na wala siyo kwao.
Cha kushangaza Jimbo la ngorongoro bado lipo na watu wake wapo na linaye mbunge hadi sasa.