LGE2024 Njama za kuengua Wagombea wa CHADEMA kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa zafichuliwa

LGE2024 Njama za kuengua Wagombea wa CHADEMA kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa zafichuliwa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii hapa ni Taarifa ya Katibu Mkuu wa Chadema aliyoisambaza kote Duniani

Screenshot_2024-11-07-12-33-28-1.png
 
CCM ni chama mfu bila wizi wa kura, uchakachuaji wa matokeo na mabavu ya vyombo vyote vya dola haiwezi kushinda uchaguzi wowote hapa nchini. Kwa vile wamechagua kubaki madarakani kwa kumwaga damu na siyo kwa ridhaa ya wananchi basi wanajitengenezea mazingira ya wao wenyewe kuondoka madarakani kwa njia hiyo hiyo.
 
Yaani mshindwe kujiandaa na uchaguzi mje mtulilie hapa. Mbowe anashinda mahotelini Dubai, Lissu anakula raha Nairobi na Ubelgiji, wote wanatumia hela ya ruzuku. Makala na Nchimbi kila siku wako saiti wanasaka kura
 
Huyo akishabugia visungura vyake vikipanda kichwani naye anajiona ni mmojawapo wa watawala.
1995 nilikuwa mmoja wa wanaccm wachache tulioitwa na Mwalimu Nyerere kuzungumzia hatima ya Mgombea Ubunge Wetu Jimbo la Iringa Mjini Dr Kitine baada ya Mfamasia na Mwalimu wangu wa Kemia Mfalamagoha Kibassa wa NCCR mageuzi kuwa anaongoza Kwa kura

Nilimwambia Mwalimu Nyerere kwamba Mwalimu Kibassa ni Mzalendo 😀😀
 
Mimi kinachonishangaza ni kitendo cha CHADEMA kulia rafu kila mara.

Mmekosa cha kufanya?

Kama hamuwezi siasa, basi acheni!

Kelele za nini kila mara kila mwaka?
 
Yaani mshindwe kujiandaa na uchaguzi mje mtulilie hapa. Mbowe anashinda mahotelini Dubai, Lissu anakula raha Nairobi na Ubelgiji, wote wanatumia hela ya ruzuku. Makala na Nchimbi kila siku wako saiti wanasaka kura
Punguani jingine hili hapa!!

Kama hawakujiandaa kwa uchaguzi, si uwaache wakaumbuke kwenye uchaguzi huru wa wa haki? Kwa nini uandikishe wapiga kura fake, na uwaengue kwa njama wagombea wa upinzani?
 
SENTESI YA MWISHO NI YA KIJINGA HAIJAWAHI KUTOKEA HAPA DUNIANI ETI MSITULAUMU KWA YATAKAYOTOKEA? HIVI CHADEMA MLISHAGA FANYA NINI MPAKA TZ IKAWALAUMU? MNA KIPI CHA KUITISHIA TANZANIA ? SHAME APON YOU BOYS AND GIRLS
Kila siku siyo Jumapili
 
Back
Top Bottom