MMEJIANDAAJE LABDA MAANA NGOMA ZENU ZOTE KILA SIKU NI ZA KITOTOKila siku siyo Jumapili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MMEJIANDAAJE LABDA MAANA NGOMA ZENU ZOTE KILA SIKU NI ZA KITOTOKila siku siyo Jumapili
The failed state siku zote inaishi kwa ujanja maana haikubaliki. Anayejitangaza na kuamini anapendwa inakuwa je tena anafanya uchafuzi kwnye uchaguzi?
Swali ni kuwa "mtafanya nini"? Wanaofanya hizo hujuma wanajua thika kuwa hamtafanya chochote ndio maana wana wapuuza.
Nani kaenguliwa? Mnalala mnaota mnakuja kupost humuPunguani jingine hili hapa!!
Kama hawakujiandaa kwa uchaguzi, si uwaache wakaumbuke kwenye uchaguzi huru wa wa haki? Kwa nini uandikishe wapiga kura fake, na uwaengue kwa njama wagombea wa upinzani?
Nani awakata? Hamkatwi, na kwenye boksi mnapigwaKama mnakubalika si waacheni ili muwashinde kwenye box!
Mnafahamiana na Mwashambwa1995 nilikuwa mmoja wa wanaccm wachache tulioitwa na Mwalimu Nyerere kuzungumzia hatima ya Mgombea Ubunge Wetu Jimbo la Iringa Mjini Dr Kitine baada ya Mfamasia na Mwalimu wangu wa Kemia Mfalamagoha Kibassa wa NCCR mageuzi kuwa anaongoza Kwa kura
Nilimwambia Mwalimu Nyerere kwamba Mwalimu Kibassa ni Mzalendo 😀😀
Huu ndio upuuzi wenu!
Mtalia sana kila mwaka na kila chaguzi. Binaadam akishika madaraka kumnyanganganya ni ngumu labda yule binaadam anaefikiria maisha baada yakufa ..lkn sisi tunaofikiria starehe chache za dunia kuacha ULUWA ngumu sanaNdani ya ccm wewe ni kama dagaa mchele, hujui lolote
Kila siku siyo JumapiliSwali ni kuwa "mtafanya nini"? Wanaofanya hizo hujuma wanajua thika kuwa hamtafanya chochote ndio maana wana wapuuza.
Amandla...
Mwisho wa ccm umefika rasmiMtalia sana kila mwaka na kila chaguzi. Binaadam akishika madaraka kumnyanganganya ni ngumu labda yule binaadam anaefikiria maisha baada yakufa ..lkn sisi tunaofikiria starehe chache za dunia kuacha ULUWA ngumu sana
Hahahaha. Siyo double kiki hahahaHuyo akishabugia visungura vyake vikipanda kichwani naye anajiona ni mmojawapo wa watawala.
Waulize chadema kama wana mawakalaHii hapa ni Taarifa ya Katibu Mkuu wa Chadema aliyoisambaza kote Duniani
Hii kitu inataka ccm chini ya Mchengerwa ,itakipata , wataenda sababisha dam kumwagika , wataenda sababisha watendaji kimbia vituo vya kazi , ila kubwa wanaweza Buruzwa ICC hata kabla ya uchaguzi mwakani.
"Mfalamagoha Kibassa", mfamasia 1995? Huu ni uongo ulio wazi. Hakuna mtu kama huyo! Wewe na "Kemia" wapi na wapi?1995 nilikuwa mmoja wa wanaccm wachache tulioitwa na Mwalimu Nyerere kuzungumzia hatima ya Mgombea Ubunge Wetu Jimbo la Iringa Mjini Dr Kitine baada ya Mfamasia na Mwalimu wangu wa Kemia Mfalamagoha Kibassa wa NCCR mageuzi kuwa anaongoza Kwa kura
Nilimwambia Mwalimu Nyerere kwamba Mwalimu Kibassa ni Mzalendo 😀😀
Na huu ndio ujumbe wanaotakiwa kuambiwa na kukumbushwa mara kwa mara.Hii kitu inataka ccm chini ya Mchengerwa ,itakipata , wataenda sababisha dam kumwagika , wataenda sababisha watendaji kimbia vituo vya kazi , ila kubwa wanaweza Buruzwa ICC hata kabla ya uchaguzi mwakani.
Tamaa ya madaraka kwa wachache kisa tu wapo katika mfumo wa ulaji , inaweza sambalatisha taifa. Zama zimebadilika .
Nyie watendaji wa kata na mitaa ,shutuka hao wanao watumia kesho mambo yakibadilika hawatakua upande wenu, hao wana pesa mda wowote kikinuka wanakwea pipa na kulala mbele.
viongozi katika vyombo vya usalama waonyenyi ,wambie ukweli hawa viongozi na roho zao za tamaa, watatualibia taifa, kwa kizazi cha leo na kesho.
Mungu yupo kazini
Ni hivi mkuu 'mihapase', watu kama wewe sasa ni wa kukabana nanyi tu huko huko mitaani. Tutaelewana tu; kwani Tanzania siyo mali yenu kiasi kwamba muing'ang'anie kama mnavyo fanya sasa.SENTESI YA MWISHO NI YA KIJINGA HAIJAWAHI KUTOKEA HAPA DUNIANI ETI MSITULAUMU KWA YATAKAYOTOKEA? HIVI CHADEMA MLISHAGA FANYA NINI MPAKA TZ IKAWALAUMU? MNA KIPI CHA KUITISHIA TANZANIA ? SHAME APON YOU BOYS AND GIRLS
Wakati Mbunge mstaafu wa Chadema Iringa mjini mchungaji Msigwa anatuuzia suluari za shule za Mitumba Mwalimu Wetu wa Chemistry pale The Highlands sec school alikuwa mkemia Kibasa"Mfalamagoha Kibassa", mfamasia 1995? Huu ni uongo ulio wazi. Hakuna mtu kama huyo! Wewe na "Kemia" wapi na wapi?