Hii kitu inataka ccm chini ya Mchengerwa ,itakipata , wataenda sababisha dam kumwagika , wataenda sababisha watendaji kimbia vituo vya kazi , ila kubwa wanaweza Buruzwa ICC hata kabla ya uchaguzi mwakani.
Tamaa ya madaraka kwa wachache kisa tu wapo katika mfumo wa ulaji , inaweza sambalatisha taifa. Zama zimebadilika .
Nyie watendaji wa kata na mitaa ,shutuka hao wanao watumia kesho mambo yakibadilika hawatakua upande wenu, hao wana pesa mda wowote kikinuka wanakwea pipa na kulala mbele.
viongozi katika vyombo vya usalama waonyenyi ,wambie ukweli hawa viongozi na roho zao za tamaa, watatualibia taifa, kwa kizazi cha leo na kesho.
Mungu yupo kazini