Kujiandaa kwa uchaguzi gani? Huu ushenzi unaoendelea nao unaita ni uchaguzi?Yaani mshindwe kujiandaa na uchaguzi mje mtulilie hapa. Mbowe anashinda mahotelini Dubai, Lissu anakula raha Nairobi na Ubelgiji, wote wanatumia hela ya ruzuku. Makala na Nchimbi kila siku wako saiti wanasaka kura
Ondoeni wagombea wenu sasaKujiandaa kwa uchaguzi gani? Huu ushenzi unaoendelea nao unaita ni uchaguzi?
Nikawaondoe kwani mimi ndio nimewaweka? Ninachojua kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.Ondoeni wagombea wenu sasa
Basi endelea kushiriki maonyeshoNikawaondoe kwani mimi ndio nimewaweka? Ninachojua kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Mimi kama mimi siwezi kushiriki huo upuuzi, na watu wengine wanaojitambua hawako tayari. Turnout ya waliojiandikisha inadhibitisha hilo. Na siku ya uchaguzi itakuwa ndogo zaidi.Basi endelea kushiriki maonyesho
Watu wenyewewe wachaga wa kuibiwa kura kila uchaguzi? Sitaki kuamini.
Unga wenyewe ulivyo robo, halafu mtu asuse, mbona tutanenepaMimi kama mimi siwezi kushiriki huo upuuzi, na watu wengine wanaojitambua hawako tayari. Turnout ya waliojiandikisha inadhibitisha hilo. Na siku ya uchaguzi itakuwa ndogo zaidi.
Wakati wa uchaguzi mkuu mahudhirio yatakuwa madogo zaidi. Hivyo jiandaeni kupika idadi zaidi ya wapiga kura, lakini ukweli uko wazi peupe kuwa tumewachoka. Na hatuko tayari kujazana vituoni huku mkinajisi chaguzi, na kutumia wingi wetu vituoni kudanganya umma na dunia kuwa bado mnakubalika.
Punguza ujinga.wewe yanayofanyika kwa akili zako ndogo unaona ni sawa au uko kwenu somo la ustarabu mlifeli wote.Mimi kinachonishangaza ni kitendo cha CHADEMA kulia rafu kila mara.
Mmekosa cha kufanya?
Kama hamuwezi siasa, basi acheni!
Kelele za nini kila mara kila mwaka?
Mkubwa alafu mjinga.Watu wenyewewe wachaga wa kuibiwa kura kila uchaguzi? Sitaki kuamini.
Itakuwa wachaga ujanja wao wa ujambazi na lkuvamia viwanja vya watu tu, hawana kuiba kiakili?
Wanaowaibia wachaga kura nawapongeza sana.
Mjing mimi au mjinga yule mbae kila uchagui analalamika kuibiwa kura na hajuwi namna ya kujikinga.Mkubwa alafu mjinga.
Kuna wajinga wao wanafikiri migogoro iliyoko nchi zingine haiwezi kutokea hapa hawajui kua ata hizo nchi nao walikua na maisha yao hadi pale wajinga wachache walipoamua kuyaharibu kwa mambo yakupiuuzi kama siasa zakijinga na ubadhirifu hadi watu wakashindwa kuvumilia.Hii kitu inataka ccm chini ya Mchengerwa ,itakipata , wataenda sababisha dam kumwagika , wataenda sababisha watendaji kimbia vituo vya kazi , ila kubwa wanaweza Buruzwa ICC hata kabla ya uchaguzi mwakani.
Tamaa ya madaraka kwa wachache kisa tu wapo katika mfumo wa ulaji , inaweza sambalatisha taifa. Zama zimebadilika .
Nyie watendaji wa kata na mitaa ,shutuka hao wanao watumia kesho mambo yakibadilika hawatakua upande wenu, hao wana pesa mda wowote kikinuka wanakwea pipa na kulala mbele.
viongozi katika vyombo vya usalama waonyenyi ,wambie ukweli hawa viongozi na roho zao za tamaa, watatualibia taifa, kwa kizazi cha leo na kesho.
Mungu yupo kazini
Mjinga ni yule anayefananisha mambo ya Trump marekani na Tanzania wakati anajua Siasa za marekani na Tanzania ni mbingu na ardhi.Kama huna akili huwezi kuelewa.Mjing mimi au mjinga yule mbae kila uchagui analalamika kuibiwa kura na hajuwi namna ya kujikinga.
Mwenzenu Trump kalalamika anaibiwa kura lakini haraka kaziba mianya kashinda uchguzi, ndani ya masaa tu.
Nyie mpaka nyimbo zenu za kuibiwa zimechuja sasa.
Waongo wakubwa.
Sasa kama hamuwezi si muache?Punguza ujinga.wewe yanayofanyika kwa akili zako ndogo unaona ni sawa au uko kwenu somo la ustarabu mlifeli wote.
Mama yupi unayemsema?4R za Mama zinafanya kazi hivyo hakutakuwepo kuwaengua wagombea bila sababu za msingi na uchaguzi utakuwa huru na haki.
Unapigwa mwingi ..! Mpaka Maji muyaite mma!!aliyoisambaza
Huu ni ubaguzi!Itakuwa ... ujanja wao wa ujambazi na lkuvamia viwanja vya watu tu, hawana kuiba kiakili?
Nadhani mada Haina uhusiano na kusaka kuraYaani mshindwe kujiandaa na uchaguzi mje mtulilie hapa. Mbowe anashinda mahotelini Dubai, Lissu anakula raha Nairobi na Ubelgiji, wote wanatumia hela ya ruzuku. Makala na Nchimbi kila siku wako saiti wanasaka kura
Alipaswa kufanya Nini hasa chama kisizorote? Kwamba nguvu ya Dola inayotumika kulidhiofisha mathalani kilichotokea mbeya na kilichomkuta Mzee kibao hapa mjini ni mnyika amesababisha au askari waliolipwa per diem ya 10ks na kuhamishiwa dar kucrack down legal demonstration ni mnyika alifanya hivyo! You are more than a wasted spermUnapigwa mwingi ..! Mpaka Maji muyaite mma!!
===
Ukweli Mnyika amekidhorotesha Chadema. Bila Yeye Chadema ingekuwa mbali sana.