LGE2024 Njama za kuengua Wagombea wa CHADEMA kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa zafichuliwa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Usihangaike na Wajinga
 
Usihangaike na Wajinga
Tatizo wamekua wengi sana na wanatumia mbinu za kijinga kwanyamazisha wenye akili na maarifa! Sasa ogopa taifa ambalo wajinga ni wengi na mambo ya kijinga Yana outshine mambo ya msingi! Sasa wajinga Hawa wakizidi kuongezeka naona wakienda kuchagua Ras
 
Mjinga ni yule anayefananisha mambo ya Trump marekani na Tanzania wakati anajua Siasa za marekani na Tanzania ni mbingu na ardhi.Kama huna akili huwezi kuelewa.
Hkuna asiye na akili, labda hajuwi kuzitumia tu.
 
Hii hapa ni Taarifa ya Katibu Mkuu wa Chadema aliyoisambaza kote Duniani

View attachment 3146056
CHADEMA na Upinzani nchini Tanzania ni kama sikio la kufa ambalo halisikii dawa.

Tumekuwa tukiwashauri mara nyingi sana kupitia humu mtandaoni kwamba mnachopaswa kufanya kwanza kwa Sasa ni kupigania Upatikanaji wa Katiba mpya iliyo nzuri, achaneni kwanza na masuala haya ya Uchaguzi lakini nyie mmeshupaza shingo. Acha CCM iwafundishe through the hard way, LAZIMA tu siku Moja mtakuja kuelewa somo.
 
Inawezekana unamzungumzia yule 'Mrusi', au siyo? Hilo jina 'Kibasa', au Mbasa?... lina shida kidogo! Lakini kumbukumbu kwa mbali naipata kuhusu huyo mtu aliye ingia Bungeni.
Yupo wapi sasa?
 
Inawezekana unamzungumzia yule 'Mrusi', au siyo? Hilo jina 'Kibasa', au Mbasa?... lina shida kidogo! Lakini kumbukumbu kwa mbali naipata kuhusu huyo mtu aliye ingia Bungeni.
Yupo wapi sasa?
Mwalimu Kibassa sijui kwa sasa yupo wapi baada ya siasa za NCCR mageuzi Kuzidiwa na Chama Cha Mrema alipotea kabisa

1980s mkemia Kibassa alikuwa mashuhuri sana pale kwenye shule ya maTX The Highlands sec school
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…