Tetesi: Njama za kuwavua Uwakili waliofungua kesi kupinga Mkataba wa Milele wa Bandari zavuja ni kama ile iliyomkuta Fatuma Karume

BILA KUPEPESA MACHO WAVULIWE TU HUO UWAKILI.
 
Fitna, Chuki, Roho Mbaya Italifikisha Taifa Pabaya Sana Sana
DP World Wateme Bungo Tanzania Itulie
 
Hatuwezi kuwa na mawakili wanaovunja miiko ya kazi zao halafu tuwachekee tu hapana taratibu na hatua za kinidhamu zitachukuliwa dhidi yao
 
CCM ni mdudu wanategemea polisi kuiba kura
P Siyo kweli yaani ccm wanajuwa nini wanafanya wengine wanakulupuka tu" angalia walio toka nje wamekuja xa jipya gani walgjidai katiba mara bandari sasa mnaibiwa kura.
 
....ndiyo inatafutwa mboga nyingine... Baada mboga ya kwanza kumwagwa!!?
 
Itakuwa vizuri, wale hawawezi kuwa mawakili inaonekana wanaumwa akili. Wale ni vichaa.
 
Bali Alphonce Lusako ametahadharisha kwamba hata wakihujumu baadhi yao bado kuna Mawakili zaidi ya 67 wanaosimamia Kesi hiyo .[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza huu ni uzushi mnautengeneza km defence mechanism. Nyie kweli vilaza
 
Kuna mawakili wengi mno hiyo kesi haitokosa wa kuisimamia.

Hoja hapa ni kubadili mkataba tu au kuufuta kabisa.
Mkataba upi unaoungelea?

Tusilishane matango pori.
Ni huyo huyo anayetaka kuliingiza taifa la tanganyika katika shimo lisilo na pakutokea .
Hiyo Tanganyika iko wapi? Unaota?
 
MASIKINI TANGANYIKA YALE YALE YA AWAMU YA 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…