Tetesi: Njama za kuwavua Uwakili waliofungua kesi kupinga Mkataba wa Milele wa Bandari zavuja ni kama ile iliyomkuta Fatuma Karume

IN THE MATTER OF ADVOCATE COMMITEE

AND
IN THE MATTER OF REMOVAL OF ADVOCATE MWAMBUKUSI FROM THE ROLL[emoji3][emoji3]
 
kwenye press eti mtu anasema "ametishwa kuuliwa" 😂😂ili kuonyesha kwamba ana msimamo na huko twittee ni wanyakyusa tu ndo wanataka kutekwa na kuuliwa eti wanafuatiliwa.

Ushamba mzigo yaani utishwe kuuliwa ile kick imehamia na utawala huu...Si mlisema Magufuli ndo alikuwa anawateka na kuwaua.
 
Nawashauri members wa dizaini hii wablock au wawekeni kwenye block list msione ujinga wao.


Taahira kama hili linatoa mfano wa mkataba wa Tanzania na uingereza. Tuletee huo mkataba wa uingereza tuone na tuufananishe na huu wa Tanzania.


Leo nakublock rasmi
 
Hakuna namna ndio dawa iliyobaki member anae kukera mpe block kwisha habari yake.
 
Naona mmeongwa na majizi ya bandari
 
Yaani upotezee uwakili wako uliyoipigania kwa jasho na damu ktk law school

Hakika Hawa Ni wazalendo Kweli kweli
 
Katika nchi hii demokrasia ni kumsifia kiongozi mkuu tu na mawazo yake nje ya hapo ni jinai.
Tulijua mambo ya kikatili na roho mbaya yamepita na awamu ile...kanzu mpya lakini shehe ni yuleyule
 
Mwabukuzi anatokea kijij gani mbeya mkuu
 
Kama wakili akiishi kwenye misingi ya uwakili, ni ngumu sana kumvua uwakili wake.

Ishu ya Fatuma ni yeye alianza kujichanganya mwenyewe kwenye kesi ya Ado Shahibu, na Jaji naye akajichanganya namna ya kumuadhibu. Ila ukweli ni kwamba Fatuma alizingua, ila akapata kichaka kwenye jazba ya Jaji.

kama mtu ukiisoma hiyo kesi ni wazi utaona alipozingua Fatuma.

Muhimu ni kuishi kwenye misingi, wengi wa mawakili hatuishi kwenye misingi ndio maana ni rahisi sana kukutwa na madhila hasa money laundering.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…