Tetesi: Njama za kuwavua Uwakili waliofungua kesi kupinga Mkataba wa Milele wa Bandari zavuja ni kama ile iliyomkuta Fatuma Karume

Huyo havuliwi uwakili kwa kufunguwa kesi.

Huyo anavuliwa uwakili kwa kusema hovyo akishalewa.

Sisi tunataka wanajeshi wakamcheze kichura Lussu kwa kumtukana Amiri Jeshi Mkuu.

Hicho ki failure wala hatuna habari nacho. Kilieli siasa, sasa kinata ku force wa matusi, kwisha kazi yake huyo. Huyo nnahisi hatutamsikia tena aiongea. Nje au ndani ya uwakili.
 
Shetani hajawahi kumshinda Mungu
 
Mawakili wote watakuwa awajitambui ikitokea wamempoka uwakili, awezekani jeshi kubwa la mawakili waendeshwe ,wakati wao wanasimamia Sheria tumawaamini alafu siasa ziwayumbishe
 
Wavuliwe si wanajifanya hawatishwi na mtu, shingo haipiti kichwa
 
Siku hizi upo kwenye corridor za ikulu?
Ulisema hivi hivi issue ya Ally Karume ikaja ikawa kweli,
Baadhi ya comment zako sizipuuzii.
Msameheni Lissu, kwenda kumchezesha kichura kwake ni adhabu kali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…