Njama za makanali wawili wa Ukraine kumuua Zelenskyy zatibuliwa huku Urusi ikihusishwa.

Waukraine wenyewe wapo tayari kuendelea kupigana na kufa huko vitani ?

Note: Hiyo habari yako imehusisha idara ya usalama na jeshi, unapaswa ujibu kwa makini hili swali kwa kuzingatia hii note
Sasa kama hawako tayari nini kinachowazuia Urusi kuichukua mazima Ukraine na badala yake wanaishia kuidokoa kidogo kidogo?
 
Hilo sifahamu.

Ila kuna muitikio hafifu wa vijana kwenda kupambana vitani tena wengi wanatoroka nchi kwa njia za magari kwa kulipa fedha kama wahamiaji haramu wa kiethiopia labda kama documentary za BBC, Sky nilizo tazama zinapotosha lakini sifikri hivyo.
 
Hata Urusi kuna raia wengi wametoroka nchi kwa hofu ya kupelekwa vitani.
 
Sawa, ila haina afya kwa Ukraine.

Ila kwa hiyo habari yako kuna shida mahali ukiunganisha dot na kuondolewa minister of defense ukigusia na hizo idara ulizotaja kutakuwa kuna kitu kinaendelea.

Hizi ni idara nyeti sana zinazopaswa kuwa makini na imara wakati huu wa vita ikitokea sintofahmu katikati yao haina afya.
 
Back
Top Bottom