Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Intelligence kali ya Taifa jirani zamnusuru Rais mupinduliwa. Ilikuwa apinduliwe 15/6/2023. Bahati yake ni kuwa na intelligence kali kila idara ya utumishi wa Umma.
Sasa mzee analisuka jesjhi lake upya. Mataifa mawili jirani yatajwa kushirikiana na maafisa wa jeshi watiifu kwa mzee kuhitimisha Enzi yake.
Je atasalimika ikizingatiwa jeshi lake Sasa limegawanyika vipande vitatu? Moja watiifu, pili wasiomtii na tatu neutral yaani lolote sawa tu.
Sijataja nchi wala Rais husika.