Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Sidhani maana ni kama vile kulikuwa na fununu za kuji organize kwa ajili ya mapinduzi,Kutoka kituo A cha kazi kwenda kituo B au C au kutoka mkoa A kwenda mkoa G
Hao aliowaondosha usije shangaa kama hajaondoka mmoja baada ya mwingine bas wataishia jera.